Boyz II Men hili kundi limekufa Tanzania au limeongezwa wanachama?

Boyz II Men hili kundi limekufa Tanzania au limeongezwa wanachama?

Amebakia Kikwete peke yake na amehakikisha akiwa bado hai anaacha mrithi wake mwingine baada ya Samia kuachia ofisi mwaka 2030, Emmanuel Nchimbi ni muendelezaji wa kundi hilo baada ya Samia kuondoka.

Kikwete anatamani hata akiwa na miaka 100 aendelee kuwa na ukaribu na awamu itakayokuwa ikulu, ni mzee mmoja hapendi kustaafu siasa na kuishi mazima ya mzee anayekula pensheni.

Ni kweli kwamba marais wanamtegemea kwa uzoefu wake lakini na yeye anapenda mno kuhusika na uongozi wa nchi, kuwa sehemu ya walaji wa keki nyingi ya TZ.
Shida ipo wap? Kwann hataki mtu kutoka kwenye nje ya mfumo wake?
 
Nape ni mtupu tu kwenye masuala ya uongozi. Makamba uchekibobu umemjaa na anajisahau kwa kudhani anajua kuliko hata hao wanaomuapisha pale ikulu.

Bosi wake alimpigia simu mkurugenzi wa zamani wa TCAA akishangazwa na uamuzi wa Makamba kuliingilia mazima suala ambalo kiutaratibu wahusika wakuu ni wakurugenzi wa mamlaka za anga za Kenya na Tanzania, lengo lake aonekane kwa mheshimiwa kwamba yupo kazini kumbe kwa kufanya hivyo akawa amemkera bosi.

Amerudishwa mwaka huu kwa lengo la kuipigania CCM iweze kushinda uchaguzi lakini haimaanishi kwamba moja kwa moja atakuwepo kwenye baraza lijalo la mawaziri.
Nilikuwa sielew kwann kasamehewa bila wananchi kujua kosa lake
 
Halipo tena lilibadili jina baadaye.kutoka Boys 2 men na kuitwa friends of Lowasa baada ya Lowasa kupigwa chini uteuzi wa kugombea uraisi na CCM 2015 alipohamia Chadema

Aliporudi CCM group la friends of Lowasa likafa rasmi halipo tena hadi anafariki hakukuwa na kundi lolote linamhusu
Kwahyo mzee wa msoga ni one army sahv ila anatumia kenge wake
 
Amebakia Kikwete peke yake na amehakikisha akiwa bado hai anaacha mrithi wake mwingine baada ya Samia kuachia ofisi mwaka 2030, Emmanuel Nchimbi ni muendelezaji wa kundi hilo baada ya Samia kuondoka.

Kikwete anatamani hata akiwa na miaka 100 aendelee kuwa na ukaribu na awamu itakayokuwa ikulu, ni mzee mmoja hapendi kustaafu siasa na kuishi mazima ya mzee anayekula pensheni.

Ni kweli kwamba marais wanamtegemea kwa uzoefu wake lakini na yeye anapenda mno kuhusika na uongozi wa nchi, kuwa sehemu ya walaji wa keki nyingi ya TZ.
Uzoefu gani wa maana zaidi ya ufisadi, umafia na umimi?
Mbona ngosha aliongoza manually bila kutegemea remote controller?
 
Back
Top Bottom