ngatunga123
Member
- Mar 11, 2025
- 48
- 86
- Thread starter
- #61
😂😂😂End of the road, song for mama, on bended kneel, colour of love ni miongoni mwa nyimbo za kundi hilo zilizobamba sana enzi hizo
😂😂😂End of the road, song for mama, on bended kneel, colour of love ni miongoni mwa nyimbo za kundi hilo zilizobamba sana enzi hizo
Wameanza kufanya hivyoNathan Morris alisema mbona wana mpango wa kutoa kazi mwaka 2025 nadhani
Nakumbuka kuna stori kuhusu ngosha kukamata magari ya watu bandarini pale nyuma ya pazia wanasema aliyalipia baade ili yaendelee kutumika serikaliniUzoefu gani wa maana zaidi ya ufisadi, umafia na umimi?
Mbona ngosha aliongoza manually bila kutegemea remote controller?
Kundi la siasaNatamani kujua pia
Hii layer haina Muda itatoka, watakuka Watawala wapya kabisa ambapo izo familia zinazojiona Special au Chosen zita suffer sanaKwa kificho au kwa siri, wanajipanga kuhakikisha mazalia wao wanaendelea kula mema ya nchi. Ingawa kuna kila dalili kuwa haitawezekana 😂 😂 😂 😂 😂
Hiyo itatokea baada ya mzee kusafiri kwenda mbali na asirudi tenaHii layer haina Muda itatoka, watakuka Watawala wapya kabisa ambapo izo familia zinazojiona Special au Chosen zita suffer sana
Kabisa !Baada ya huyu mzee kusafiri kutakuwa na siasa za chuki
Jakaya mtu wa sistimu,alilibinulia mbali,yule tajiri huenda ndiye anayezungumzwa na wasira kwamba walitaka kuweka mgombea tofauti na maza, sistimu ikaubinulia mbali mpango,usicheze na sistimuHili kundi baada ya kutengana na kufariki yule mzee wa kimasai na mmoja kujitoa Je, hili kundi bado lipo au limekufa nalo?
Wanahusika na mengiKabisa !
Ana Umimi sana hana uwezo wa kuwaunganisha watu !
Mambo mengi ya kudhalilishwa watu na kuteswa yalianzia Kwenye zile Enzi zake !
Yule Tajiri kwani bado yupo Tanzania kwaniJakaya mtu wa sistimu,alilibinulia mbali,yule tajiri huenda ndiye anayezungumzwa na wasira kwamba walitaka kuweka mgombea tofauti na maza, sistimu ikaubinulia mbali mpango,usicheze na sistimu
Huoni anacyojipanuaYule Tajiri kwani bado yupo Tanzania kwani
Muda utaongea !
Unaona nani akiwatoa hawa kwasasa au mbaka yule mkuu akisafiri zake na akashindwa kurudi tena?
Hii layer haina Muda itatoka, watakuka Watawala wapya kabisa ambapo izo familia zinazojiona Special au Chosen zita suffer sana
Siasa zmekuwa ngumu sana hii nchi ESCROW TEGETA pesa hazijarudiHuoni anacyojipanua
Watageukana mzee akiondokaInaelekea kwa sasa Dira imepotea !
Mbili haikai tatu haikai Wanasemaga Waswahili !
Everything is happening for a reason !
Kila nikiangalia siioni Think Tank ya kusawazisha mambo !
Yule kijana ake ushawishi ni mdogo sanaKuna competition kubwa sana na muda umeshakuwa sio rafiki. Mahesabu yameharibika, maana ilikuwa iwe ngwe hii. Yajayo yanafurahisha