ngatunga123
Member
- Mar 11, 2025
- 48
- 86
- Thread starter
-
- #41
Shida ipo wap? Kwann hataki mtu kutoka kwenye nje ya mfumo wake?Amebakia Kikwete peke yake na amehakikisha akiwa bado hai anaacha mrithi wake mwingine baada ya Samia kuachia ofisi mwaka 2030, Emmanuel Nchimbi ni muendelezaji wa kundi hilo baada ya Samia kuondoka.
Kikwete anatamani hata akiwa na miaka 100 aendelee kuwa na ukaribu na awamu itakayokuwa ikulu, ni mzee mmoja hapendi kustaafu siasa na kuishi mazima ya mzee anayekula pensheni.
Ni kweli kwamba marais wanamtegemea kwa uzoefu wake lakini na yeye anapenda mno kuhusika na uongozi wa nchi, kuwa sehemu ya walaji wa keki nyingi ya TZ.
Nilikuwa sielew kwann kasamehewa bila wananchi kujua kosa lakeNape ni mtupu tu kwenye masuala ya uongozi. Makamba uchekibobu umemjaa na anajisahau kwa kudhani anajua kuliko hata hao wanaomuapisha pale ikulu.
Bosi wake alimpigia simu mkurugenzi wa zamani wa TCAA akishangazwa na uamuzi wa Makamba kuliingilia mazima suala ambalo kiutaratibu wahusika wakuu ni wakurugenzi wa mamlaka za anga za Kenya na Tanzania, lengo lake aonekane kwa mheshimiwa kwamba yupo kazini kumbe kwa kufanya hivyo akawa amemkera bosi.
Amerudishwa mwaka huu kwa lengo la kuipigania CCM iweze kushinda uchaguzi lakini haimaanishi kwamba moja kwa moja atakuwepo kwenye baraza lijalo la mawaziri.
Huyo alikuwa mmoja kati ya waanzilishi wa kundiMzee wa kimasai!
Unaona nani akiwatoa hawa kwasasa au mbaka yule mkuu akisafiri zake na akashindwa kurudi tena?Kwa kificho au kwa siri, wanajipanga kuhakikisha mazalia wao wanaendelea kula mema ya nchi. Ingawa kuna kila dalili kuwa haitawezekana π π π π π
Uwezekano wa kugeukana upo pia uko mbeleNdio bahati mbaya iliyopo. Competion imekuwa kubwa sana. watu walionao wengi ni vilaza na hawajiwezi. Na wameshajijengea maadui
SiasaNi kundi la nini na linahusu nini na ni kwanini..?
Hata huo hawezi kuupataNape labda anaweza kua Rais wa TFF
Mshana anaelewa sana nafuatiliaga nyuzi zakeMshana jr uko wapi baba? Njoo ujibu swali linaulizwa wako wapi Boyz II Men. jana ulileta stori za yvone chaka chaka na yondo sister
π€£π€£π€£ itakuwawe ni mtoto wa 2000?
Bhac sio mfutiliaji wa siasaMimi ni mkubwa!
Ukisoma vizuri comments za watu utapata mwangaliko wapi sasahivi na nyimbo zao ni zipi kwa mfano..?
Kwahyo mzee wa msoga ni one army sahv ila anatumia kenge wakeHalipo tena lilibadili jina baadaye.kutoka Boys 2 men na kuitwa friends of Lowasa baada ya Lowasa kupigwa chini uteuzi wa kugombea uraisi na CCM 2015 alipohamia Chadema
Aliporudi CCM group la friends of Lowasa likafa rasmi halipo tena hadi anafariki hakukuwa na kundi lolote linamhusu
Uzoefu gani wa maana zaidi ya ufisadi, umafia na umimi?Amebakia Kikwete peke yake na amehakikisha akiwa bado hai anaacha mrithi wake mwingine baada ya Samia kuachia ofisi mwaka 2030, Emmanuel Nchimbi ni muendelezaji wa kundi hilo baada ya Samia kuondoka.
Kikwete anatamani hata akiwa na miaka 100 aendelee kuwa na ukaribu na awamu itakayokuwa ikulu, ni mzee mmoja hapendi kustaafu siasa na kuishi mazima ya mzee anayekula pensheni.
Ni kweli kwamba marais wanamtegemea kwa uzoefu wake lakini na yeye anapenda mno kuhusika na uongozi wa nchi, kuwa sehemu ya walaji wa keki nyingi ya TZ.
Natamani kujua piaNi kundi la nini na linahusu nini na ni kwanini..?
Sasa Makalla anamiliki Prime Lounge hapa Dodoma. Akishalewaga bia za Prime anaenda kwenye mkutano ya chama kuongea mambo ya hovyoWewe na amos makala mlicho pishana mwenzako alikuwa anamiliki FM academia
Alishughulikia suala la sekta ya usafiri wa anga wakati mamlaka zikiwepo, alimruka mkurugenzi wa TCAA akawasiliana moja kwa moja na waziri wa mambo ya nje wa Kenya, akamkera bosi wake SSH.Nilikuwa sielew kwann kasamehewa bila wananchi kujua kosa lake
Baada ya huyu mzee kusafiri kutakuwa na siasa za chukiNdio game anayoicheza kwa sasa ila Uzee na no big Influence vitamkwamisha !
Mifumo ya kitawala ya hii nchi nayo haiko sawaAlishughulikia suala la sekta ya usafiri wa anga wakati mamlaka zikiwepo, alimruka mkurugenzi wa TCAA akawasiliana moja kwa moja na waziri wa mambo ya nje wa Kenya, akamkera bosi wake SSH.
πππ Amos Makalla mwenezi na itikadiSasa Makalla anamiliki Prime Lounge hapa Dodoma. Akishalewaga bia za Prime anaenda kwenye mkutano ya chama kuongea mambo ya hovyo