Boyz II Men hili kundi limekufa Tanzania au limeongezwa wanachama?

Hili kundi baada ya kutengana na kufariki yule mzee wa kimasai na mmoja kujitoa Je, hili kundi bado lipo au limekufa nalo?
Jakaya mtu wa sistimu,alilibinulia mbali,yule tajiri huenda ndiye anayezungumzwa na wasira kwamba walitaka kuweka mgombea tofauti na maza, sistimu ikaubinulia mbali mpango,usicheze na sistimu
 
Inaelekea kwa sasa Dira imepotea !
Mbili haikai tatu haikai Wanasemaga Waswahili !
Everything is happening for a reason !
Kila nikiangalia siioni Think Tank ya kusawazisha mambo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…