Brand gani ina Fast Charger bora?

Brand gani ina Fast Charger bora?

Mimi naweka on simu nikichomeka chaja km ni yenyewe inasema "fast charging" km ya kawaida inasema tu 'charged'
 
A20 inakubali fast charging ila ni 15w tu.

Qualcom fast charging version 2 kupanda itafanya kazi kwako, mfano aliopost mdau hapo juu ni v3.0 inamaana kwako itafanya kazi pia.

Njia rahisi ya kuzipata hapa kwetu tafuta charger za flagship za zamani kama s6,s7,s8 etc

Na ili wasikupige download app ya Acubattery playstore kisha chomeka simu kwenye charger kisha weka lock simu isikilizie kama dakika 5 hivi then washa kioo nenda kwenye charging angalia upande wa screen off charging kama imezidi 2A (2000mA) ujue yenyewe hio fast charging, chini ya hapo ni chaja tu ya kawaida.

View attachment 1450500
Mkuu natumia Xiaomi note 8, fast charger gani nzuri!?
 
Kuniradhi kutokueleza zaidi. Ila ukitaka kuthibitisha hilo chukua charger yako na tumia USB Cable fupi na ndefu utaona tofauti ya muda wa simu yako kuwa charged. Rudi hapa kunipa mrejeshonyuma.
Mkuu kuhusu waya hiyo sijaona nguvu yake ya hoja.

Kwa sababu kinachomata ni ule umeme wa mwanzo kutoka katika chaji kupitia waya kwenda katika simu.

Kwa hiyo waya wa chaji ukiwa mrefu sana utaathiri uingiaji wa chaji kwa ule muda wa mwanzo kuingia tu.
Na athari hiyo ni ndogo.

Lakini ikishafika ule umeme ukawa unaingia kwenye chaji inakuwa hakuna tofauti.

Kwa sababu ukiwa na mpira wa maji lenye mita mia,na ungine uina mita 5.

Kisha chomeka mipira yote miwili katika bomba la maji na mipira ielekezee kwenye ndoo pale zilizotupu.

Kisha ukafungulia maji kutoka kwenye mabomba yote haya.

Kitakachoathiri kwa ndoo yenye mpira mrefu ni ule muda utakaotumia kwa yale maji ya kwanza kufika.

Yaani mpira dogo ukitumia sekunde 30 kufikisha maji ya kwanza kwemye ndo.

Huu mpira mkubwa utatumia sekunde 50 kufikisha maji ya kwanza kwenye ndoo.

Baada ya hapa haya maji yote kufika kwa muda tofauti,yataanza kujaa kwa pamoja kabisa.

Na wala hakutokuwa na tofauti kubwa baina ya mpira mrefu na mfupi katika kujaza ndoo hizo.

Tofauti ni ndogo sana tena sana mkuu.

Huo ni mfano wa maji sikuambii kwa umeme ambao unasafiri haraka sana kuliko maji.
 
Sayansi ya mtitiriko maji na umeme ni tofauti.

Ulichokieleza kuhusu maji ni sawa ila kwa umeme urefu wa waya hungeza "resistance (R)" na na kuhitaji nguvu zaidi kupitisha umeme (current-I) = I²R
 
Mkuu natumia Xiaomi note 8, fast charger gani nzuri!?
Hio simu inakubali fast charging hadi 18W,

Tafuta fast charger yoyote inayokubali USB power delivery ya hio rating 18w ama Qualcomm fast charging 3.0, pia unaweza tafuta Qualcomm fast charging 4.0, itakuwa ni future proof sema sio lazima.

Inaweza kuwa qualcomm fast charger, ya samsung, iphone, Anker, etc angalia tu hio specification ya Usb power delivery.
 
Sayansi ya mtitiriko maji na umeme ni tofauti.

Ulichokieleza kuhusu maji ni sawa ila kwa umeme urefu wa waya hungeza "resistance (R)" na na kuhitaji nguvu zaidi kupitisha umeme (current-I) = IR²

Mkuu sawa ni tofauti lakini kwa mfano niliotoa nilichokusudia kimejenga concept.

Sawa urefu wa waya huongeza resistance lakini sio kwa kiwango hicho ambacho kinaweza kuchelewesha kujaza chaji.

Athari yake ni ndogo sana kwa sababu speed ya umeme ni ile ile lakini tu itahitaji nguvu zaidi kuhakikisha umeme uliokusudiwa unapita.

Sina utaalamu sana wa mambo hayo nisijitie ujuaji
 
Sijui una maana gani na "speed" ya umeme maana nguvu ya charge ni "constant" = VI (Voltage na Amperage) kupitia mzuio wa waya (Restance, R). "Charger" l hutoa nguvu ile ile, haingozeki. Hivyo basi ukitumia waya yenye Resitance kubwa km ndefu au isiyo ya simu hiyo (wengi tumezoea kutumia charger au waya ya aina yoyote) "charger" hupata joto kubwa.
 
Lakini kasi ya umeme kutoka katika chaji kuja katika simu inaweza kuwa tofauti baina ya waya mrefu na waya mfupi zikiwa zote za aina moja ?
 
Kuhusu kasi ya umeme sijakuelewa. Ila nashauri, ukinunua simu tunza "charger" yake. Ukitumia tofauti ama utaua "charger" au "battery" ya simu. Na wale wanaotumia magari kuchaji simu wanajua madhara yake maana umeme wa gari hautoi "voltage" iliyo "constant". Nguvu ya kuchaji = VI (Voltage na Amperage)
 
Kuhusu kasi ya umeme sijakuelewa.
Mfano kasi ya mwanga ni 300,000,000m per second.

Sasa nilikusudia na umeme pengine una kasi yake kwa second.

ukinunua simu tunza "charger" yake. Ukitumia tofauti ama utaua "charger" au "battery" ya simu
Mfano mimi natumia samsung A10 nilinunua mkononi na chaji sikuwa nayo.

Je kuna chaji za samsung A10 naweza kupata mkuu ?
Kama sina unashauri nitumie chaji gani ambayo haitakuwa na tatizo kwa simu yangu ?
 
Mfano kasi ya mwanga ni 300,000,000m per second.

Sasa nilikusudia na umeme pengine una kasi yake kwa second.

Mfano mimi natumia samsung A10 nilinunua mkononi na chaji sikuwa nayo.

Je kuna chaji za samsung A10 naweza kupata mkuu ?
Kama sina unashauri nitumie chaji gani ambayo haitakuwa na tatizo kwa simu yangu ?

Pata maelezo ya kifundi (specifications) za A10 kuhusu "charger", kisha nunua, hata mitaani, yenye maelezo hao. Yanahusu "Power" (P), "Voltage" (V) na "Current" (I in Amperage)
 
Natumia wiseking adaptive nyeupe inawaka bluu na chapa ya simba
 
Kuhusu kasi ya umeme sijakuelewa. Ila nashauri, ukinunua simu tunza "charger" yake. Ukitumia tofauti ama utaua "charger" au "battery" ya simu. Na wale wanaotumia magari kuchaji simu wanajua madhara yake maana umeme wa gari hautoi "voltage" iliyo "constant". Nguvu ya kuchaji = VI (Voltage na Amperage)
Mkuu upo sahihi lakini unazungumzia charging technology ya Miaka ya nyuma sana
Siku hizi charger zina processors ndani ayake ambayo Ina monitor charging voltage na resistance ,na zinakuwa very accurate , fast charger nyingi ninazozijua huwa zina charge kwa current na voltage kubwa mwanzoni then kadiri simu inavyojaa inapunguza charging voltage , hata chargers za kwenye magari Siku hizi nazo zipo smart
 
Back
Top Bottom