Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nakupa Louis Vuitton hand bag buree[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hand bag ya gucci 100,000
under wear 50000 top &chupi
magauni mpaka 50000
wakati chupi za3000 zipo
handbag mpaka25000
magauni mpaka15000 yapo
ntakachotoka mfupa wa mgongo kisa?
Mk/kklein gucci
wamatopeni watupishe[emoji23]
ntashukuru unanipa saa ngapi hio LVAisee nakupa Louis Vuitton hand bag buree[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Umenikumbusha mbali, wakati tupo boarding school, siku za mchacho ndiyo wale wenye shanti tuliwaona wa maana, ukitoka kuoga unapiga hodi lakini yalikuwa yanaharibu sana shati la shule.Calvin Klein (CK) na Van Bastern nimevaa wakati mdogo. Enzi zile chupi ni VIP, ndala ni Jombo na mafuta ni shanti!!! Kipindi maarufu cha comedy kilikuwa cha Mzee Jangala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saa 8 tukutane Postantashukuru unanipa saa ngapi hio LV
aaah niko mkuranga[emoji22]Saa 8 tukutane Posta
Nipigie kwa no 0717 .........aaah niko mkuranga[emoji22]
sio 065Nipigie kwa no 0717 .........
Hiyo itakuwa ya Mchumba wakosio 065