BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,064
- 2,312
- Thread starter
- #41
Mkuu, naomba unielekeze wanapouza cadets au jeans za hizi brands: VICOBSS, SULAGE & SODA, MXSIMO DUTT, TOM FRODS, BELLNSGEA kwa uchache, kwa hiyo bei unayosema mkuu.Hapo ndio utachoka. Maduka ya Jumla kwa kariakoo cadets ni 15 hadi 20 mtu anauza 55?
Neio maana vinana wengi hii biashara ya nguo hua haikai muda inakufa sababu ya kutaka bei kubwa sana.
Staff jeans 50? Wakati zinauzwa 20 hadi 25 hapa Dar? Mbona balaa.
Mawasiliano yangu haya hapa: 0624 366 385