INAUZWA Brands quality cadets, shirts and t-shirts

INAUZWA Brands quality cadets, shirts and t-shirts

Hapo ndio utachoka. Maduka ya Jumla kwa kariakoo cadets ni 15 hadi 20 mtu anauza 55?

Neio maana vinana wengi hii biashara ya nguo hua haikai muda inakufa sababu ya kutaka bei kubwa sana.

Staff jeans 50? Wakati zinauzwa 20 hadi 25 hapa Dar? Mbona balaa.
Mkuu, naomba unielekeze wanapouza cadets au jeans za hizi brands: VICOBSS, SULAGE & SODA, MXSIMO DUTT, TOM FRODS, BELLNSGEA kwa uchache, kwa hiyo bei unayosema mkuu.

Mawasiliano yangu haya hapa: 0624 366 385
 
Kama huna hela usinunue hujalazimishwa we nenda VUNJA BEI jeans 20k tu na tshirt 10k..hizo waachie wanaojua wanavaa nini
Pia ndugu Mfufua Makaburi, unaweza fata ushauri wa huyu ndugu hapa.
 
Mkuu, naomba unielekeze wanapouza cadets au jeans za hizi brands: VICOBSS, SULAGE & SODA, MXSIMO DUTT, TOM FRODS, BELLNSGEA kwa uchache, kwa hiyo bei unayosema mkuu.

Mawasiliano yangu haya hapa: 0738 589 389

Sipendi sana kuongelea biashara ya mtu kwa namna ya kupinga bei yake

Ila hii bei kwa hizo nguo zako mzee sio

Hapa ndo mnapokoseaga wafanya biashara unashindwa kusoma watu wako vizuri na uwape watu kwa bei gani

Sio mzuri sana wa kujua brands ila muda sio mrefu sana hapo nyuma ( miezi kadhaa) nilinunua moja ya brand hapo nikauziwa 23000 kkoo

Na juzi nimempigia simu mwamba mmoja aniletee hizo ww unaziita dutt nilimwambia kwa bei ya jumla akasema 18000

Kuweni real katika biashara zetu ili mtengeeneze pato la kueleweka muwafikia watu wengi zaidi

Ni sawa na wauza furniture tu yaani unakuta ki-coffee table eti 700,000/- ukiangalia mbao ni low quality.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tom Frods/VicobsTrouser[emoji119][emoji119] + Burbery/Polo Shirt(Long Sleeve) = [emoji95][emoji95]

Shirts size: M, L, XL, 2XL na 3XL

Trouser : 32 - 40

Lipia 80,000kwa zote mbili.Badala Ya 90,000

Karibuni

Calls/Whatsapp; 0624 366 385


[emoji3581][emoji3581][emoji3581] TOP QUALITY PRODUCTS ONLY[emoji3581][emoji3581][emoji3581]



bjbfc12.jpg
Bj3.jpg
IMG-20200510-WA0054.jpg
BJB54.jpg
BJB31.jpg
bjbs12.jpg
 
Ungeweka na size au range ya suruali ulizo nazo ingependeza zaidi.

Bidhaa nzuri ila umekuja wakati wa mashaka, watu wanatahadhari ya mambo mengi, hii hali itakupunguzia wateja.
 
Ungeweka na size au range ya suruali ulizo nazo ingependeza zaidi.
Sawa mkuu, pamoja

Bidhaa nzuri ila umekuja wakati wa mashaka, watu wanatahadhari ya mambo mengi, hii hali itakupunguzia wateja.
Upo sahihi kabisa mkuu.Tunajitahidi kuchukua thadhari kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.

Karibu Pia

Calls/Whatsapp : 0624 366 385
 
Tom Frods/VicobsTrouser[emoji119][emoji119] + Burbery/Polo Shirt(Long Sleeve) = [emoji95][emoji95]

Shirts size: M, L, XL, 2XL na 3XL

Trouser : 32 - 40

Lipia 75,000kwa zote mbili.Badala Ya 85,000

Karibuni

Calls/Whatsapp; 0624 366 385


[emoji3581][emoji3581][emoji3581] TOP QUALITY PRODUCTS ONLY[emoji3581][emoji3581][emoji3581]



View attachment 1447527View attachment 1447528View attachment 1447530View attachment 1447531View attachment 1447532View attachment 1447533
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

JF watu nadhifu aiseeeeeeeeeeeeee!!!!!!

Hii combination bado ipo, kwa bei safi kabisaaaaaaaaaa!!!!!

Top Quality Products Only

Calls/Whatsapp : 0624 366 385
 
Moja ya kazi bora sana ya VICOBBS.

Material safi, haipauki, haitoi nyuzi nyuzi.Simply Its best!!!!!!!!!

Price: 50,000 tzs
Mbili kwa 90,000 tzs badala ya 100,000 tzs

Tatu kwa 130, 000 tzs badala ya 150,000 tzs


Calls/Whatsapp: 0624 366 385

Vicobbs.jpg
VICOBBS (2).jpg
 
Trending T-Shirts [emoji95][emoji95][emoji95][emoji119][emoji119][emoji119]

Price : 30,000 kwa 35,000



1BJB04.jpg
1BJB13.jpg
1BJB07.jpg
1BJB12.jpg
1BJB06.jpg
1BJB02.jpg
 
Combination Ya Leo: Pink V-neck sweater(Massimo Dutt) + Khaki Vicobbs Trouser

Price85,000

Karibu

Calls/Whatsapp
BJB01.jpg
JB47.jpg
 
Hiii STAFF JEANS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sadly, rangi hiii ya chini imekata.Sorry kwa usumbufu mlopata baadhi ya wadau wetu.

Staff Jeans.jpg








Zilizokuwepo Now Ni Rangi Hiiiiiiiiiiiiiiiiii Chini.Same Product, Same Quality.
Size zinaanzia 34 mpka 40
Price 50,000 badala ya 55,000






Staff.jpg
 
kama una cadet zisizo chupa au jeans plain zisizo chupa nielekeze duka. size 36
 
Tunatuma Mikoani Pia Kwa Uaminifu Mkubwa.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
BB1.jpg
IMG-20200514-WA0008.jpg
 
Heshima Yenu Wadau.

[emoji32][emoji32][emoji32] Hizi Kazi, “L” size nyeupe, zimeisha.Zimebaki M, XL, XXL.

Callss/Whatsapp : 0624 366 385

Tunatuma Mikoani

Karibuni.

Top Quality Products Only.
BJBF30.jpg
 
Imefika hiyoooo kwa mdauuuuuu!!!

Zipo Rangi Tofauti Zote Hizooo

Size: M, L, XL, XXL

Price: 35,000 tzs.

Chukua Tatu na Zaidi(SIO LAZIMA AINA MOJA)
Tukupe Super-Discount

Calls/Whatsapp: 0624 366 385

Mikoani Tunatuma.Top Quality Products Only Karibu



20200515_171524.jpg
BJBF06.jpg
 
Soft Jeans

Brand Sulage Soda

Coloe : Dark Blue

Price : 50,000

Calls/Whatsapp : 0624 366 385


BJBs15.jpg
BJBs14.jpg
BJBs13.jpg
 
Back
Top Bottom