Jamaa anatisha WWE Raw. Kurt Angle alimzingua jamaa anataka achukue ushindi kutoka kwa Brock Lesnar. Pambano litakalo fanyika la watu watatu. Lenyewe, Brock Lesnar na Kane.Tatizo Jamaa ni giant...
kuna baadhi ya watu u-giant unawasaidia... angekua mshkaji tu wakimo cha kawaida kama akina ,Roman Reign ...sidhani kama angeweza....
No...bora mm siamini kama brawn strman anatisha kiivyo, na wala hakumpelekesha reigns kiivyo yani kama ni asilimia waligawana 60 strman 40 reigns......Jamaa anatisha WWE Raw. Kurt Angle alimzingua jamaa anataka achukue ushindi kutoka kwa Brock Lesnar. Pambano litakalo fanyika la watu watatu. Lenyewe, Brock Lesnar na Kane.
Hili jitu linatisha. Roman Reign anajua alipigika siku moja mpaka nikamuhurumia. Hakuna wa kuligusa jitu hili
Nasubiri pambano hilo kwa hamu.
Survivor Series ya mwaka jana hebu itazame. Raw vs Smackdown.No...bora mm siamini kama brawn strman anatisha kiivyo, na wala hakumpelekesha reigns kiivyo yani kama ni asilimia waligawana 60 strman 40 reigns......
kama Strawman akimpiga round kadhaa Broc lesnar ntamkubali kuwa anatisha wwe....
Hata Raw team sidhani kama anaogopeka kiivyo au ndo analiongoza jahazi
kwakweli bado sijatoa credt kwake
Walisha pambana Broc akashinda......ila cha moto alikiona.....No...bora mm siamini kama brawn strman anatisha kiivyo, na wala hakumpelekesha reigns kiivyo yani kama ni asilimia waligawana 60 strman 40 reigns......
kama Strawman akimpiga round kadhaa Broc lesnar ntamkubali kuwa anatisha wwe....
Hata Raw team sidhani kama anaogopeka kiivyo au ndo analiongoza jahazi
kwakweli bado sijatoa credt kwake
Braun ana nguvu sana ........ ila Brock anatumia akili sana......kumbuka pambano lao...Braun alitumia nguvu sana mwishowe alipigwa.......Survivor Series ya mwaka jana hebu itazame. Raw vs Smackdown.
brock lesnar (Raw) vs Aj Styles (Smackdown)
Brock Lesnar alishinda lakini aliondoka uwanjani kwa kuchechemea. Ninauhakika
Kane, Braun strowman, brock lesnar Machi hiyo strowman anashinda.
Brock lesnar ashamchapa strowmanNo...bora mm siamini kama brawn strman anatisha kiivyo, na wala hakumpelekesha reigns kiivyo yani kama ni asilimia waligawana 60 strman 40 reigns......
kama Strawman akimpiga round kadhaa Broc lesnar ntamkubali kuwa anatisha wwe....
Hata Raw team sidhani kama anaogopeka kiivyo au ndo analiongoza jahazi
kwakweli bado sijatoa credt kwake
yote yanawezekana let's seeSurvivor Series ya mwaka jana hebu itazame. Raw vs Smackdown.
brock lesnar (Raw) vs Aj Styles (Smackdown)
Brock Lesnar alishinda lakini aliondoka uwanjani kwa kuchechemea. Ninauhakika
Kane, Braun strowman, brock lesnar Machi hiyo strowman anashinda.
walikiona wote sio yeye tuWalisha pambana Broc akashinda......ila cha moto alikiona.....