Braun Strowman demolishes a TV production truck: Raw, Jan. 15, 2018

Braun Strowman demolishes a TV production truck: Raw, Jan. 15, 2018

Truck km hiyo mark henry kishawahi kuzivuta 2 kwa pa1,jamaa zetu itakua kuangalia juzi wwe

Mark Henry namkubali sana. Lakini kuna mechi alipigwa na jitu hili hands down.
 
iyo video si imerushwa youtube leo[emoji23][emoji23][emoji23] afu jamaa ni fan wa brawn
Kuna mambo mawili tukubaliane. Pulling and lifting. Mark Henry alivuta magari lakini Stroman lifted truck. Tusuburi mechi ya brock, kane na stroman tutaona nani ni nani.
 
Kuna mambo mawili tukubaliane. Pulling and lifting. Mark Henry alivuta magari lakini Stroman lifted truck. Tusuburi mechi ya brock, kane na stroman tutaona nani ni nani.
sawa mkuu ila sidhani kama Brawn atachomoa
 
The beast among men ni wa kawaida kabisa. Anapambana na madingi kina kane miaka 51 bado yanamtoa ulimi, je angewakuta kwenye zama zao?

Hana kitu extra kabisa. Ukiniuliza kati ya Kane na The Beast among men bado credits ntampa kane.

Ukiangalia hata reign yake haitakua ya muda mrefu, mpaka sasa sijaona kama atafikia mafanikio ya kina Show, Henry, Kane, Taker na wengine wenye miili mikubwa hapo WWE.

Bado ni wa kawaida. Every time anakua chokeslamed na Kane mwenye miaka karibu 52, mbabu.
 
Jamaa anatisha WWE Raw. Kurt Angle alimzingua jamaa anataka achukue ushindi kutoka kwa Brock Lesnar. Pambano litakalo fanyika la watu watatu. Lenyewe, Brock Lesnar na Kane.
Hili jitu linatisha. Roman Reign anajua alipigika siku moja mpaka nikamuhurumia. Hakuna wa kuligusa jitu hili
Nasubiri pambano hilo kwa hamu.
Huyu jamaa cha mtoto tu, asubiri kupigwa Suplex City za kufa mtu na Brock Lesnar,
Siku zote wakikutanaga kwenye mechi ya Mkanda, jamaa hua anakaa
 
Kane alipigika hujapata kuona, Mark Henry alipigika hujapata kuona. Kunapambano na Big Show stage yote ilianguaka.
Check hapa:


Na Kuna Pambano na Kane mpaka walitoboa sakafu. Ila nadhani pale walitudanganya, pengine ile sakafu ilitobolewa toka mwanzo wakaacha kitambaa kitupu kwa Juu
 
Jamaa kanyayua Semi wanasema ndiye mtu mwenye nguvu duniani
Eddie Hall - Wikipedia
hqdefault.jpg
 
Huyu mwaka jana alipewa ngoto na Brock Lesna huyu bado dogo sana. Big shoo yenyewe basi ni ile kuitwa mshindi tu ila kama sio kidogo Big angemkalisha. Alikuwa anamwogopa Anderteka vibaya. Wakati Roma Rain alimfanya The Ander astaafu kwa amani. Rein haogopi mtu sema huyu jamaa alikuwa anamuumiza sio kupigana kama wwe inavotaka
 
Back
Top Bottom