Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
World Strongest Man ni mmoja tu MARK HENRY
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisha pambana Broc akashinda......ila cha moto alikiona.....
hahaaa wewe umekuja kuharibu madaRoman Empire is the best
Mark Henry anajiita tu hivyo,MARK HENRY ndio anashikilia rekodi sasa hivi
Mark Henry anajiita tu hivyo,
ila officially ni Eddie Hall
Fake but wanapiga hela ya hatariFake though... but awesome
Hata mimi....Mzee wa Spear ........Kwa hiyo unataka kusema aliyeshindwa chamoto hajakiona??? mimi huwa namkubali Roman Reigns
mkuu, corporate kane hakutakiwa kuwepo kwenye hiyo list. umri umeenda na hawezi kupambana na young blood kama akina Lesnar na Strowman. napendekeza ingekuwa ni Brock vs Samoa Joe vs Braun strowman. triple threat match...no holds barred and count fall anywhere. ungeona kivumbi. ila kwa pambano hilo lijalo, kane ni msindikizaji tu. I miss the aggression era...Kuna mambo mawili tukubaliane. Pulling and lifting. Mark Henry alivuta magari lakini Stroman lifted truck. Tusuburi mechi ya brock, kane na stroman tutaona nani ni nani.