Braun Strowman demolishes a TV production truck: Raw, Jan. 15, 2018

Huyu jamaa cha mtoto tu, asubiri kupigwa Suplex City za kufa mtu na Brock Lesnar,
Siku zote wakikutanaga kwenye mechi ya Mkanda, jamaa hua anakaa
Haha..suplex city( German suplex)! unamjua mwanzilishi wa hiyo suplex city? anaitwa Big poppa pump...call him freakzilla! baadae ikawa inatumiwa na Chris benoit (RIP) and kurt angle. after years, ndo brock lesnar amekuja kuitumia kama wrestling signature. so, kimula rock, F5 na suplex city ndo the only weapons of brock
 
mkuu, corporate kane hakutakiwa kuwepo kwenye hiyo list. umri umeenda na hawezi kupambana na young blood kama akina Lesnar na Strowman. napendekeza ingekuwa ni Brock vs Samoa Joe vs Braun strowman. triple threat match...no holds barred and count fall anywhere. ungeona kivumbi. ila kwa pambano hilo lijalo, kane ni msindikizaji tu. I miss the aggression era...
Samoa Joe mchumba tu, Roman ndo anaweza kusimama na hao
 
40 years ni young blood ee??
 
mkuu, umeanza kufuatilia lini wrestling? Samoa joe is best wrestler na yuko kwenye rank za akina kurt angle, brock lesnar, AJ style...and the list goes on and on! nimeangalia match zake zaidi ya 200 na jamaa ni yuko vizuri. Roman ameibuka juzi tu wakati Samoa akiwa kwenye gemu since 2002. kwa mfano, angalia finishing move ya Roman...ni super man punch and spear! ina maana ukiweza ku-encounter hizo move, atakuwa hana madhara. kwa upande wa samoa, he has various stuff akiwa ulingoni. amecheza/wrestle na wana mieleka wengi ambao Roman hatokuja kukutana nao, akiwemo hulk Hogan, sting, Big poppa pump/scott steiner etc...

Dogo, I am a wrestling god and i know what am talking. maybe wewe unawaona kwenye tv, but mimi nimekutana nao baadhi face 2 face
 
40 years ni young blood ee??
Is no longer young blood in wwe! ila wakati huo akiwa only 25 years na branded as next big thing...tulizoea kumwita kama young blood. technically, kuanzia wakati huo mpaka sasa, nothing has changed kwa brock lesnar. though, naona amekosa upinzani.
 
mkuu, umeanza kufuatilia lini wrestling? Samoa joe is best wrestler na yuko kwenye rank za akina kurt angle, brock lesnar, AJ style...and the list goes on and on! nimeangalia match zake zaidi ya 200 na jamaa ni yuko vizuri. Roman ameibuka juzi tu wakati Samoa akiwa kwenye gemu since 2002. kwa mfano, angalia finishing move ya Roman...ni super man punch and spear! ina maana ukiweza ku-encounter hizo move, atakuwa hana madhara. kwa upande wa samoa, he has various stuff akiwa ulingoni. amecheza/wrestle na wana mieleka wengi ambao Roman hatokuja kukutana nao, akiwemo hulk Hogan, sting, Big poppa pump/scott steiner etc...

Dogo, I am a wrestling god and i know what am talking. maybe wewe unawaona kwenye tv, but mimi nimekutana nao baadhi face 2 face
Kwani Mkuu Samoa bila ile style yake ya kukabana Roba ana ingine ipi zaidi kama Finishing style??
 
Haha..eti "kukabana Roba"...jamaa anazo nyingine mkuu. kama Muscle buster, ankle rock,Kokina clutch and crossface...
 
Mmmhhhh, sidhani kama anazitegemeaga hizo kama finisher styles Mkuu
 
jaribu kufuatilia mkuu, utamwona jamaa. kuna kipindi mambo huwa magumu kwenye ulingo. anazi-apply simultaneously.
kurt_682x400_478308a.jpg
 
wadau niko kwenye tv hapa nasubr rumble sa 9 ucku
am for mongenster 4 UC
 
mkuu, umeanza kufuatilia lini wrestling? Samoa joe is best wrestler na yuko kwenye rank za akina kurt angle, brock lesnar, AJ style...and the list goes on and on! nimeangalia match zake zaidi ya 200 na jamaa ni yuko vizuri. Roman ameibuka juzi tu wakati Samoa akiwa kwenye gemu since 2002. kwa mfano, angalia finishing move ya Roman...ni super man punch and spear! ina maana ukiweza ku-encounter hizo move, atakuwa hana madhara. kwa upande wa samoa, he has various stuff akiwa ulingoni. amecheza/wrestle na wana mieleka wengi ambao Roman hatokuja kukutana nao, akiwemo hulk Hogan, sting, Big poppa pump/scott steiner etc...

Dogo, I am a wrestling god and i know what am talking. maybe wewe unawaona kwenye tv, but mimi nimekutana nao baadhi face 2 face
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah,
Yaan mieleka skuhz napenda tu kumwangalia stroman

Huyu jamaa ananikosha sana.

Kwa sasa hana mpinzani wwe.
 
Truck km hiyo mark henry kishawahi kuzivuta 2 kwa pa1,jamaa zetu itakua kuangalia juzi wwe

Huyu nae aliwahi kuchapwa kichapi cha mbwa mwizi na strowaman

Alichapwa mpk akashndwa kutoka kwny stage.
 
Kuna jamaa wawili nawakubali sana Dean Ambrose na Finn balor
Ha ha ha......
Bora hata ya ambrose.

Finn in kidagaa tu kule wwe.

Maneno meeeengi, kupambana in zero
 
Back
Top Bottom