Braun Strowman demolishes a TV production truck: Raw, Jan. 15, 2018

Hiyo mechi atashinda lesnar ili aje akutane na reigns wrestlemania
 
Mi walivyotoka kina undertaker nishaacha kuangalia mieleka
 
Monster among men ndo mbabe pale raw na smarkdown
 
Namkubali sana Reigns... ila jamaa hapendi teams za kumsaidi figusi hua ni nyingi kwake...

Ila Braun nguvu nyingi ukienda nae nguvu kwa nguvu utapewa kile unataka... yule anahitaji akili

Royal Rumble three men in the ring wakiwania mkanda braun akiwapiga wote wawili nitamcredit rasmi...
 
Kuna mambo mawili tukubaliane. Pulling and lifting. Mark Henry alivuta magari lakini Stroman lifted truck. Tusuburi mechi ya brock, kane na stroman tutaona nani ni nani.
mkuu, corporate kane hakutakiwa kuwepo kwenye hiyo list. umri umeenda na hawezi kupambana na young blood kama akina Lesnar na Strowman. napendekeza ingekuwa ni Brock vs Samoa Joe vs Braun strowman. triple threat match...no holds barred and count fall anywhere. ungeona kivumbi. ila kwa pambano hilo lijalo, kane ni msindikizaji tu. I miss the aggression era...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…