Bravo nao wamebebwa?

Hayo madai ya kitoto sana.Kubet ni kosa kubwa sana kwenye mpira na adhabu zake zinafikia mpaka kufungiwa maisha kujishughulisha na mpira.
Halafu ni jambo la ajabu kudai kwamba marefa wa mechi zote mbili walibet.Mechi ya Azam na Yanga ilichezwa mpaka dakika 100 Je refa Arajiga alibet?
Wewe una chuki binafsi na matokeo yamekuudhi hivyo umekuja na dai la kitoto lisilokuwa na uhalisia.
Dakika zinazoonyeshwa na fourh officlal ni minimum. REFA ana uhuru wa kuongeza kukiwapo na upotezaji wa muda.Refa ana stopwatch wewe huna hivyo madai yako ni mfu.
 
Nlivyoona umechambua uzi wa Janabi nilikuona upo vizuri kumbe wapi, ni popoma mmoja tu.
 
Kumbe kubeti kwenyewe hujui halafu unabishana, kubeti kabet kabla ya mchezo haujaanza. Sasa tubishane kwa fact sio unapayuka payuka hovyo

Tukio la kadi nyekundu
1) je Che Melon alikuwa ni mtu wa mwisho au hakuwa mtu wa mwisho?
2) je kanuni inasemaje kwa mtu wa mwisho?
3) kwanini refa asubirie hadi Che Melon aachwe ndio apulize kipyenga kwanini hakupuliza filimbi pale pale baada ya Melon kucheza faulo au angeacha tu advantage?


Dakika kuzidi 7
1) dakika zilizoongezwa zinaweza kuzidi kama kuna matukio ya kusimama kwa mchezo, je baada ya refa kuongeza zile dakika 7 kuna tukio lipi lililojotokeza la kufanya mchezo usimame?
2) umetoa mfano wa mechi ya Yanga vs Azam kuzidi kwa dakika za nyongeza, je umejiridhisha kuwa baada ya kuongezwa zile dakika 7 mpira haikusimama kwa matukio ya wachezaji kuumia, n.k?
 
Taja tukio lolote lililopoteza muda baada kuongezwa zile dakika 7
 
Eti hakukua na ucheleweshwaji wa mpira!!!

Goli kips wao kalala mara ngapi?

Wachezaji wao wametolewa na machela mara ngapi tena wakiwa hawajaumia.!!!!

Mnataka kutufanya wengine hatuna macho tunaangalia mpira Kwa makalio sio?
 
Kwenye dakika 7 zilizoongezwa hakuna delay yoyote ilotokea kujustify refactoring kuongeza dakika 2! Na stopwatch na saa ya TV lazima vitakuwa sawa maana hakuna delay yeyote
 
Kwa hiyo?!🙂
 
Mwalimu wako alipata tabu sana kukufundisha.Dakika 7 ni minimum.Hivyo maximum unataka iwe pia 7.Umeanza kuangalia mpira na matumizi ya added minutes leo?
Ingekuwa kuna hesabu minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza mngelalamika kule Morocco kuwa mwamuzi kawaonea? Likiwakuta nyie mwamuzi kawaonea ila likiwa favor nyie mnasema kuna minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza.
 
Ingekuwa kuna hesabu minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza mngelalamika kule Morocco kuwa mwamuzi kawaonea? Likiwakuta nyie mwamuzi kawaonea ila likiwa favor nyie mnasema kuna minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza.
Kule morocco Sisi tulilalamikia wachezaji kushindwa kushikilia bomba..

Ila nyie ndio mkaanza kutwambia Refa katuua.

Kiufupi Mashabiki wa yanga mlitaka kutujaza ujinga kama wenu wa kulalamikia marefa.

Nani asie wajua kwa kujikuta marefa
 
Kwani uyo refa anaijua Simba kweli🤔 ukute hata timu haijui mnaanza singizia amebeba, wale waarabu machoko Kila mda walikua wanalala ndomana refa kaongeza mda, mijitu Ina point ziro 0 empty upepo sifuri afu inataka sare
 
Heee kumbe timu huwa zinajulishwa eee. Kazi ya wachezaji ni kucheza mpira tu, additional minutes shall be played to not less than minimum shown minutes
 
Kule morocco Sisi tulilalamikia wachezaji kushindwa kushikilia bomba..

Ila nyie ndio mkaanza kutwambia Refa katuua.

Kiufupi Mashabiki wa yanga mlitaka kutujaza ujinga kama wenu wa kulalamikia marefa.

Nani asie wajua kwa kujikuta marefa
Twende namna hii wa kwanza huyo analalamika Wydad dhulumati wakati refarii hakuwa Wydad
 
Utopolo, utamjua tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…