Hayo madai ya kitoto sana.Kubet ni kosa kubwa sana kwenye mpira na adhabu zake zinafikia mpaka kufungiwa maisha kujishughulisha na mpira.
Halafu ni jambo la ajabu kudai kwamba marefa wa mechi zote mbili walibet.Mechi ya Azam na Yanga ilichezwa mpaka dakika 100 Je refa Arajiga alibet?
Wewe una chuki binafsi na matokeo yamekuudhi hivyo umekuja na dai la kitoto lisilokuwa na uhalisia.
Dakika zinazoonyeshwa na fourh officlal ni minimum. REFA ana uhuru wa kuongeza kukiwapo na upotezaji wa muda.Refa ana stopwatch wewe huna hivyo madai yako ni mfu.