Bravo nao wamebebwa?

Bravo nao wamebebwa?

Hayo madai ya kitoto sana.Kubet ni kosa kubwa sana kwenye mpira na adhabu zake zinafikia mpaka kufungiwa maisha kujishughulisha na mpira.
Halafu ni jambo la ajabu kudai kwamba marefa wa mechi zote mbili walibet.Mechi ya Azam na Yanga ilichezwa mpaka dakika 100 Je refa Arajiga alibet?
Wewe una chuki binafsi na matokeo yamekuudhi hivyo umekuja na dai la kitoto lisilokuwa na uhalisia.
Dakika zinazoonyeshwa na fourh officlal ni minimum. REFA ana uhuru wa kuongeza kukiwapo na upotezaji wa muda.Refa ana stopwatch wewe huna hivyo madai yako ni mfu.
 
Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Nlivyoona umechambua uzi wa Janabi nilikuona upo vizuri kumbe wapi, ni popoma mmoja tu.
 
Maelezo mengi lakini pumba tupu, una ushahidi upi wa refa kubeti? Refa angetabiri vipi Simba wanaweza kufunga goli dk mbili zijazo wakati wameshindwa kufunga zaidi ya dk 70 zilizopita? Refa ana stop watch kufuatilia matukio, wewe shabiki wa utopolo pia ulikuwa na stop watch kumoniter matukio kwenye mechi ya Simba? mbona unajitesa sana? Hii mechi ya Yanga vs Azam pia ulikuwa na stop watch pia?
Kumbe kubeti kwenyewe hujui halafu unabishana, kubeti kabet kabla ya mchezo haujaanza. Sasa tubishane kwa fact sio unapayuka payuka hovyo

Tukio la kadi nyekundu
1) je Che Melon alikuwa ni mtu wa mwisho au hakuwa mtu wa mwisho?
2) je kanuni inasemaje kwa mtu wa mwisho?
3) kwanini refa asubirie hadi Che Melon aachwe ndio apulize kipyenga kwanini hakupuliza filimbi pale pale baada ya Melon kucheza faulo au angeacha tu advantage?

Dakika kuzidi 7
1) dakika zilizoongezwa zinaweza kuzidi kama kuna matukio ya kusimama kwa mchezo, je baada ya refa kuongeza zile dakika 7 kuna tukio lipi lililojotokeza la kufanya mchezo usimame?
2) umetoa mfano wa mechi ya Yanga vs Azam kuzidi kwa dakika za nyongeza, je umejiridhisha kuwa baada ya kuongezwa zile dakika 7 mpira haikusimama kwa matukio ya wachezaji kuumia, n.k?
 
Hayo madai ya kitoto sana.Kubet ni kosa kubwa sana kwenye mpira na adhabu zake zinafikia mpaka kufungiwa maisha kujishughulisha na mpira.
Halafu ni jambo la ajabu kudai kwamba marefa wa mechi zote mbili walibet.Mechi ya Azam na Yanga ilichezwa mpaka dakika 100 Je refa Arajiga alibet?
Wewe una chuki binafsi na matokeo yamekuudhi hivyo umekuja na dai la kitoto lisilokuwa na uhalisia.
Dakika zinazoonyeshwa na fourh officlal ni minimum. REFA ana uhuru wa kuongeza kukiwapo na upotezaji wa muda.Refa ana stopwatch wewe huna hivyo madai yako ni mfu.
Taja tukio lolote lililopoteza muda baada kuongezwa zile dakika 7
 
Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Eti hakukua na ucheleweshwaji wa mpira!!!

Goli kips wao kalala mara ngapi?

Wachezaji wao wametolewa na machela mara ngapi tena wakiwa hawajaumia.!!!!

Mnataka kutufanya wengine hatuna macho tunaangalia mpira Kwa makalio sio?
 
Dakika zinazoonyeshwa ni minimum.Refa ana stop watch.Kwenye TV hamna stopwatch hivyo dakika haziwezi kuwa sawa.
Refa anapaswa kuongeza dakika zilizopotezwa baada ya kusimamisha saa yake
Wavimba macho wasichokielewa ni kwamba saa inayofuatwa ni ya Refa.
Kwenye dakika 7 zilizoongezwa hakuna delay yoyote ilotokea kujustify refactoring kuongeza dakika 2! Na stopwatch na saa ya TV lazima vitakuwa sawa maana hakuna delay yeyote
 
Ni scenario mbili tofauti mzee,
Mechi ya Bravo, zimeongezwa dakika 4 na Bravo wakapata goli ndani ya hizo dakika 4 za nyongeza. Goli lilifungwa dakika 3 na sekunde zake hivyo dakika 4 inaingia tayari Bravo wanagoli. Kitendo cha refarii kupeleka mpira hadi dakika ya 7 anayeona hatendewi haki ni Bravo ila Constantine wao wanatamani zifike hata dakika 10 ili mradi wasawazishe.

Mechi ya Simba, kuna dakika 2+ zilizoongezeka hadi goli kufungwa
Kwa hiyo?!🙂
 
Mwalimu wako alipata tabu sana kukufundisha.Dakika 7 ni minimum.Hivyo maximum unataka iwe pia 7.Umeanza kuangalia mpira na matumizi ya added minutes leo?
Ingekuwa kuna hesabu minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza mngelalamika kule Morocco kuwa mwamuzi kawaonea? Likiwakuta nyie mwamuzi kawaonea ila likiwa favor nyie mnasema kuna minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza.
 
Kule morocco Sisi tulilalamikia wachezaji kushindwa kushikilia bomba..

Ila nyie ndio mkaanza kutwambia Refa katuua.

Kiufupi Mashabiki wa yanga mlitaka kutujaza ujinga kama wenu wa kulalamikia marefa.

Nani asie wajua kwa kujikuta marefa
 
Kwani uyo refa anaijua Simba kweli🤔 ukute hata timu haijui mnaanza singizia amebeba, wale waarabu machoko Kila mda walikua wanalala ndomana refa kaongeza mda, mijitu Ina point ziro 0 empty upepo sifuri afu inataka sare
 
Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Heee kumbe timu huwa zinajulishwa eee. Kazi ya wachezaji ni kucheza mpira tu, additional minutes shall be played to not less than minimum shown minutes
 
Kule morocco Sisi tulilalamikia wachezaji kushindwa kushikilia bomba..

Ila nyie ndio mkaanza kutwambia Refa katuua.

Kiufupi Mashabiki wa yanga mlitaka kutujaza ujinga kama wenu wa kulalamikia marefa.

Nani asie wajua kwa kujikuta marefa
Twende namna hii wa kwanza huyo analalamika Wydad dhulumati wakati refarii hakuwa Wydad
IMG_20241216_000656.jpg
 
Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Utopolo, utamjua tu!
 
Back
Top Bottom