Bravo nao wamebebwa?

Wewe sio simba na wala sio shabiki wa mpira wewe na yule mchome hamna namna tofauti
 
Upo sawa mkuu, hata CAF na TFF weshafuta matokeo, Simba ana point 3. Refa kapewa adhabu, halafu kuna good news, Goli la Simba lililofungwa limehamia kwa uto, wana point 4.
 
Kateni rufaa.
Mapungufu ya refarii hayatuhusu
Maamuzi ya refa kuchezesha mpira zaidi ya dakika alizoongeza sio kosa wala haupaswi kutaja kitendo hicho kuwa ni mapungufu ya refa.
 
Hii ni mechi ambayo tulipoteza dhidi ya Westham


Mpaka dakika 90 zinatimia scoreboard ilikuwa inasoma 1-1. Refa alikuja kuongeza dakika 12 kufidia.

Hizi dakika zingeongezwa kwenye ligi zetu hizi za kajamba nani basi timu iliyozidiwa lazima ingemchukia refa, wangemnunia na hata kuitikia salamu ya refa wangeikaushia.

Lakini hii mechi pamoja na kwamba ziliongezwa dakika 12 lakini filimbi ya mwisho ilikuja kupulizwa dakika ya 104 wakati huo tayari Westham wamepata bao la kuongoza dakika ya 92 kupitia mkwaju wa penalt.

Najua inakuwa inauma kwa timu ambayo ulikuwa unaiombea ifungwe kupata ushindi kwenye dakika za jioni ambazo wewe ulikuwa umeamini matokeo hayatobadilika.

Hiyo inatokeaga hata mimi juzi kwenye mechi ya Yanga na Mazembe niliumia sana Yanga kusawazisha dakika za jioni.

Kile kitendo kiliniuma sana, so trust me nayajua maumivu yenu kwenye hili goli la Kibu.

I want y'all to feel the same shit that I went thru.
 
Tumia akili kufikilia. Umepewa na mfano hapo juu na memba mmoja kuwa kuna mechi imeongezwa dakika 4 zingine baada ya dakika za nyongeza. Na hapo unasemaje?
Tangu lini huyo akawa na akili? Au humjui
 
Afcon mechi, injury time ilikuwa hadi 10+
 
Nlivyoona umechambua uzi wa Janabi nilikuona upo vizuri kumbe wapi, ni popoma mmoja tu.
Jamaa yupo vizuri sana sio kwenye uzi wa Prof Janabi tu,but kwenye ushabiki wa Simba na Yanga huwa kuna tofauti ndogo sana kati ya profesa na maamuma
 
Wakati mwingine unaweza kuongea ili jambo ukahisi upo sawa na ila uonekane upo vizuri kumbe ukaonekana kiazi....Nonesense arguments!
 
Umeongea vitu vingi kwa pamoja kukimbia hoja,kuhusu kwamba Che Malone alikuwa mtu wa mwisho au la pamoja na sheria kuhusu mtu wa mwisho maana mmekaririshwa mengi sana kwenye hili fungua uzi tuje kuchangia huko.Huko utatueleza pia ilikuwaje Baca akapewa kadi nyekundu wakati hakuwa mtu wa mwisho kwenye mechi dhidi ya Azam.Hoja mezani ni dakika za nyongeza.Swali dogo ni refa aliwezaje kujua kuwa Simba baada ya dk 2 watafunga goli iwapo wameshindwa kufunga ndani ya zaidi ya dk 70 au unataka kusema asingemaliza mpira hadi Simba wafunge?Dakika zinazoongezwa huwa ni minimum au maximum? Wewe ulikuwa na stop watch kuhesabu matukio? kwa nini unajitesa namna hiyo?
 
Ingekuwa kuna hesabu minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza mngelalamika kule Morocco kuwa mwamuzi kawaonea? Likiwakuta nyie mwamuzi kawaonea ila likiwa favor nyie mnasema kuna minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza.
Kitendo cha kulalamika hakiondoi ukweli kuwa refa wa Morocco alikuwa sahihi,baadhi ya mashabiki wa Simba walikuwa wanalalamika kwa uchungu wa kufungwa tu,ni sawa na nyie mnaolalamika leo kwa uchungu wa Simba kushinda.
 
Mademu mmejiingiza kwenye soka kuna vitu hamuelewi.
Hizo dakika ziliongezwa kwa wote wacheze.Hawakuwa wamama wajawazito kama unavyowahurumia.
Kama walikuwa na uwezo walipaswa kushinda wao
 
Ila ukibishana na shabiki wa utopolo,unaona kabisa upumbavu wenu ulipo.
Basi hata ukubali Simba ni timu kubwa sio wanyonge Afrika
 
Team za Northern Africa Zina I ujinga wa kupoteza muda pale mchezo unapowaendea sawa na malengo yao.
...kwamba wee poteza muda tu ndani ya dk 90, ila zitakazo ongezwa kufidia upotevu zitumie kisawasawa, kwani ni chache na zinahimilika!...
 
Aliamua kufuta kejeri na dharau za waraabu,watu wale wanaleta dharau sana,wanamcheka Hadi refa imagine that.
 
Utopolo kwenye soka ni zero brain hata mpewe mifano 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…