Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Sasa huyo ni nani Simba?Twende namna hii wa kwanza huyo analalamika Wydad dhulumati wakati refarii hakuwa Wydad View attachment 3177708
We unamjua huyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyo ni nani Simba?Twende namna hii wa kwanza huyo analalamika Wydad dhulumati wakati refarii hakuwa Wydad View attachment 3177708
Wewe sio simba na wala sio shabiki wa mpira wewe na yule mchome hamna namna tofautiMmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Upo sawa mkuu, hata CAF na TFF weshafuta matokeo, Simba ana point 3. Refa kapewa adhabu, halafu kuna good news, Goli la Simba lililofungwa limehamia kwa uto, wana point 4.Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Kwani wewe ni nani Simba, ninakujua wewe?Sasa huyo ni nani Simba?
We unamjua huyo?
Sa kama hunijui Una-quote kunibishia ili iweje?Kwani wewe ni nani Simba, ninakujua wewe?
Maamuzi ya refa kuchezesha mpira zaidi ya dakika alizoongeza sio kosa wala haupaswi kutaja kitendo hicho kuwa ni mapungufu ya refa.Kateni rufaa.
Mapungufu ya refarii hayatuhusu
Tangu lini huyo akawa na akili? Au humjuiTumia akili kufikilia. Umepewa na mfano hapo juu na memba mmoja kuwa kuna mechi imeongezwa dakika 4 zingine baada ya dakika za nyongeza. Na hapo unasemaje?
Afcon mechi, injury time ilikuwa hadi 10+Ni scenario mbili tofauti mzee,
Mechi ya Bravo, zimeongezwa dakika 4 na Bravo wakapata goli ndani ya hizo dakika 4 za nyongeza. Goli lilifungwa dakika 3 na sekunde zake hivyo dakika 4 inaingia tayari Bravo wanagoli. Kitendo cha refarii kupeleka mpira hadi dakika ya 7 anayeona hatendewi haki ni Bravo ila Constantine wao wanatamani zifike hata dakika 10 ili mradi wasawazishe.
Mechi ya Simba, kuna dakika 2+ zilizoongezeka hadi goli kufungwa
Jamaa yupo vizuri sana sio kwenye uzi wa Prof Janabi tu,but kwenye ushabiki wa Simba na Yanga huwa kuna tofauti ndogo sana kati ya profesa na maamumaNlivyoona umechambua uzi wa Janabi nilikuona upo vizuri kumbe wapi, ni popoma mmoja tu.
Wakati mwingine unaweza kuongea ili jambo ukahisi upo sawa na ila uonekane upo vizuri kumbe ukaonekana kiazi....Nonesense arguments!Ni scenario mbili tofauti mzee,
Mechi ya Bravo, zimeongezwa dakika 4 na Bravo wakapata goli ndani ya hizo dakika 4 za nyongeza. Goli lilifungwa dakika 3 na sekunde zake hivyo dakika 4 inaingia tayari Bravo wanagoli. Kitendo cha refarii kupeleka mpira hadi dakika ya 7 anayeona hatendewi haki ni Bravo ila Constantine wao wanatamani zifike hata dakika 10 ili mradi wasawazishe.
Mechi ya Simba, kuna dakika 2+ zilizoongezeka hadi goli kufungwa
Umeongea vitu vingi kwa pamoja kukimbia hoja,kuhusu kwamba Che Malone alikuwa mtu wa mwisho au la pamoja na sheria kuhusu mtu wa mwisho maana mmekaririshwa mengi sana kwenye hili fungua uzi tuje kuchangia huko.Huko utatueleza pia ilikuwaje Baca akapewa kadi nyekundu wakati hakuwa mtu wa mwisho kwenye mechi dhidi ya Azam.Hoja mezani ni dakika za nyongeza.Swali dogo ni refa aliwezaje kujua kuwa Simba baada ya dk 2 watafunga goli iwapo wameshindwa kufunga ndani ya zaidi ya dk 70 au unataka kusema asingemaliza mpira hadi Simba wafunge?Dakika zinazoongezwa huwa ni minimum au maximum? Wewe ulikuwa na stop watch kuhesabu matukio? kwa nini unajitesa namna hiyo?Kumbe kubeti kwenyewe hujui halafu unabishana, kubeti kabet kabla ya mchezo haujaanza. Sasa tubishane kwa fact sio unapayuka payuka hovyo
Tukio la kadi nyekundu
1) je Che Melon alikuwa ni mtu wa mwisho au hakuwa mtu wa mwisho?
2) je kanuni inasemaje kwa mtu wa mwisho?
3) kwanini refa asubirie hadi Che Melon aachwe ndio apulize kipyenga kwanini hakupuliza filimbi pale pale baada ya Melon kucheza faulo au angeacha tu advantage?
Dakika kuzidi 7
1) dakika zilizoongezwa zinaweza kuzidi kama kuna matukio ya kusimama kwa mchezo, je baada ya refa kuongeza zile dakika 7 kuna tukio lipi lililojotokeza la kufanya mchezo usimame?
2) umetoa mfano wa mechi ya Yanga vs Azam kuzidi kwa dakika za nyongeza, je umejiridhisha kuwa baada ya kuongezwa zile dakika 7 mpira haikusimama kwa matukio ya wachezaji kuumia, n.k?
Kitendo cha kulalamika hakiondoi ukweli kuwa refa wa Morocco alikuwa sahihi,baadhi ya mashabiki wa Simba walikuwa wanalalamika kwa uchungu wa kufungwa tu,ni sawa na nyie mnaolalamika leo kwa uchungu wa Simba kushinda.Ingekuwa kuna hesabu minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza mngelalamika kule Morocco kuwa mwamuzi kawaonea? Likiwakuta nyie mwamuzi kawaonea ila likiwa favor nyie mnasema kuna minimum na maximum kwenye dakika za nyongeza.
Mademu mmejiingiza kwenye soka kuna vitu hamuelewi.Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Ila ukibishana na shabiki wa utopolo,unaona kabisa upumbavu wenu ulipo.Ni scenario mbili tofauti mzee,
Mechi ya Bravo, zimeongezwa dakika 4 na Bravo wakapata goli ndani ya hizo dakika 4 za nyongeza. Goli lilifungwa dakika 3 na sekunde zake hivyo dakika 4 inaingia tayari Bravo wanagoli. Kitendo cha refarii kupeleka mpira hadi dakika ya 7 anayeona hatendewi haki ni Bravo ila Constantine wao wanatamani zifike hata dakika 10 ili mradi wasawazishe.
Mechi ya Simba, kuna dakika 2+ zilizoongezeka hadi goli kufungwa
Team za Northern Africa Zina I ujinga wa kupoteza muda pale mchezo unapowaendea sawa na malengo yao.Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Aliamua kufuta kejeri na dharau za waraabu,watu wale wanaleta dharau sana,wanamcheka Hadi refa imagine that.Ni scenario mbili tofauti mzee,
Mechi ya Bravo, zimeongezwa dakika 4 na Bravo wakapata goli ndani ya hizo dakika 4 za nyongeza. Goli lilifungwa dakika 3 na sekunde zake hivyo dakika 4 inaingia tayari Bravo wanagoli. Kitendo cha refarii kupeleka mpira hadi dakika ya 7 anayeona hatendewi haki ni Bravo ila Constantine wao wanatamani zifike hata dakika 10 ili mradi wasawazishe.
Mechi ya Simba, kuna dakika 2+ zilizoongezeka hadi goli kufungwa
Utopolo kwenye soka ni zero brain hata mpewe mifano 100.Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa Washabiki wa CS Sfaxien wa hapa nchini ambao hawajui sheria za mpira kwamba ni lazima mpira uchezwe dk zote 90.Na pia hajui kuwa dk zinazoongezwa huwa ni kwa timu zote mbili.Simba pia wamewahi kufungwa goli na Wydad dk ya 95 wakati dk zilizoongezwa zilikuwa 4.Tazama mechi kati ya Bravo vs Constatine, dk zilizoobgezwa ni 4 lakini mpira umechezwa hadi dk ya 8