EmbarrassingKitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa
a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k
Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.
Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.
Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.
Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa mahakama.
Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndomaana nasema. Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono
Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.

Hili sakata limeshaharibika sana Polepole amekiabisha chama na Taasisi ya Urais, sasa mnavyozidi kuliremba ndiyo mnaharibu. Hivi huko CCM hakuna wenye busara kuwashauri mlipotezee ili life natural death kama yalivyokufa mengine? Mtu akishakufa maiti hata muirembe vipi,mupulizie perfume gani, muiweke kwenye jeneza la dhahabu hatima yake ni futi sita chini ya ardhi.Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa
a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k
Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.
Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.
Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.
Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa mahakama.
Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndomaana nasema. Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono
.Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa
a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k
Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.
Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.
Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.
Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa mahakama.
Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndomaana nasema. Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono
mnadhani Pompeo ana akili za tope kama "team njaa kali" ya Lumumba.Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa
a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k
Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.
Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.
Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.
Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa mahakama.
Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndomaana nasema. Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono
Uhuru wa Mahakama uko wapi? Ile kesi ni ya akilazimisha tu. Ushahidi uliotolewa wala hautoshelezi kumtia mtuhumiwa hatiani. Hukumu imeandikwa na Jaji Kiongozi Eleazar Feleshi na Hakimu Mkazi Tomas Simba kaambiwa asome tu. Yote haya ni maelekezo ya Magufuli. Tanzania haina Mahakama uhuru wala utawala wa Sheria bali ni Jamhuri ya Polisi.Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa
a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k
Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.
Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.
Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.
Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa Mahakama.
Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndio maana nasema.
Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono
Kesi ilisikilizwa hadharani na ushahidi ukatolewa hadharani, wakili wa utetezi , Kibatala aliiomba Mahakama itoe adhabu ya faini badala ya faini na kifungo, Kama wakili alikiri, wewe je?Uhuru wa Mahakama uko wapi? Ile kesi ni ya akilazimisha tu. Ushahidi uliotolewa wala hautoshelezi kumtia mtuhumiwa hatiani. Hukumu imeandikwa na Jaji Kiongozi Eleazar Feleshi na Hakimu Mkazi Tomas Simba kaambiwa asome tu. Yote haya ni maelekezo ya Magufuli. Tanzania haina Mahakama uhuru wala utawala wa Sheria bali ni Jamhuri ya Polisi.
Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa
a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k
Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.
Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.
Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.
Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa Mahakama.
Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndio maana nasema.
Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono
Mtagaragazwa pamoja na hao mabeberu wenu, jiandaeni malalamiko fc. Uchaguzi wa Serikali za mitaa kumbe haziluwapa funzo?mnadhani Pompeo ana akili za tope kama "team njaa kali" ya Lumumba.
uchaguzi mwaka huu ni hivi..
CCM+polisi VS upinzani+umma+beberus