Bravo Rais Magufuli, umedhihirisha uhuru wa Mahakama nchini

Just like the way you have opened yours instead of shutting it up
It is better to let people think you are stupid than to open your mouth and prove you are stupid.
 
Ukitaka CCM wakutukane kila aina ya tusi waambie wakuonyeshe slip ya bank waliyomfanyia Mashiji malipo ya kumnunua kutoka gerezani.
Bank pay in slip, ilikabidhiwa mahakamani, ioneshwe hadharani ili iweje?. Sisi hatuna huo ushamba wa kitoto
 
I
.

Hakuna uhusiano wowote na Uhuru wa mahakama katika hili swala.
Swala lenyewe lina sura ya kisiasa zaidi. Na matumizi ya nguvu dhidi ya wakosoaji.

Na Inaonekana kama CCM kupitia kitengo chao cha propaganda kinachoendeshwa na HP, wameona kua "Mashinji Amepwaya" katika kuiuza CCM katika Jamii ya Watanzania vile walitarajia ili kuwaumiza CDM. wamejikuta wakitamani angalau wawe na wana CCM mwingine aliyefungwa ili nao wenyewe wafanye kumtoa kwa kupitia michango ili kujitangaza zaidi na kujisafisha kwenye media zote.

Hapo kabla Waliamini Wapinzani wangegeuka 'public joke' machoni pa watanzania kupitia kifungo na adhabu waliyopewa na Mahakama.

Na wale aliowaalika Ikulu ndio wangeonekana bora kwa kulamba kiatu.

Inaonyesha swala hili limeiimarisha Chadema kuliko mganga wao(CCM) alivyowatabiria.

Na mbele ya international community limeibua criticisms dhidi ya uongozi wa huyu Bwana na jinsi anavyochukuliana na wapinzani wa Serikali yake. Na limehamsha public sympathy kwa Chadema na wapinzani kwa ujumla.
Wewe kweli bado una kuwa, International community inatetea maslahi yake kiuchumi wala sio hukumu za kimahakama. Hofu yao ni mirija ya wizi wa rasilimali za nchi kukatwa na JPM. Hivyo vinatafutwa tu visingizio.
Utasikia hali na Uhuru wa kujieleza, tatizo ni haki na Uhuru wa kupowa na mabeberu ndizo zimeminywa.
Usidanganyike, kuwa mzalendo, pambana kwa maslahi ya Taifa
 
M
Mtagaragazwa pamoja na hao mabeberu wenu, jiandaeni malalamiko fc. Uchaguzi wa Serikali za mitaa kumbe haziluwapa funzo?
serekali za mitaa hakukuwa na uchaguzi.

tukutane October!
 
Mnazidi kujichoresha tu,aibu mliyopata bado inawatafuna!Kuna vitu kufanya damage control ni kukaa kimya lipite,hapa mnazidi kuharibu!
CCM ipate aibu IPI?, aibu kwa Chadema na mabeberu, walizoea kudekezwa, sasa hakuna kudeka.
 
Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.

Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa

a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k

Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.

Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.

Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.

Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa Mahakama.

Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndio maana nasema.

Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono
Hatimaye andiko lenye uchambuzi makini juu ya alichofanya Magu likefika! upo sahihi kabisa!
 
“Team JPM” halafu nakaa nasikiliza kima hii hapa?

Hold my beer!
 
Hapo awali sikuwa najua kama Mchungaji msigwa ni ndugu Na Rais JPM,
Na msigwa bado yuko upinzani na hajawahi hata kushawishiwa kuhamia ccm, huu ni ushahidi mwengine kuwahaingilii hata uhuru wa mtu mmoja mmoja.
 
CCM ipate aibu IPI?, aibu kwa Chadema na mabeberu, walizoea kudekezwa, sasa hakuna kudeka.
Polepole asingehangaika wiki hii,damage control imebuma hahahaaaa!
Unazungumzia mabeberu ambao Kabudi kaenda majuzi tu kujieleza na mimacho yake lakini hawajamwelewa!
 
Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.

Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa

a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k

Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.

Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.

Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.

Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa Mahakama.

Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndio maana nasema.

Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono

Acha ujinga. Rais kamlipia Msigwa kwa control number ipi? Na risiti ya malipo hayo ipo wapi? Acha kuwa mjinga. Nenda kwa mkuu wa gereza Segerea akuambie amemtoa Msigwa nje kwa Release Court Order iliyowakilishwa gerezani na CHADEMA au Rais? Kabla ya kuandika utumbo humu jamvini fikiri Kwanza uviche upumbavu wako.
 
I
Wewe kweli bado una kuwa, International community inatetea maslahi yake kiuchumi wala sio hukumu za kimahakama. Hofu yao ni mirija ya wizi wa rasilimali za nchi kukatwa na JPM. Hivyo vinatafutwa tu visingizio.
Utasikia hali na Uhuru wa kujieleza, tatizo ni haki na Uhuru wa kupowa na mabeberu ndizo zimeminywa.
Usidanganyike, kuwa mzalendo, pambana kwa maslahi ya Taifa
Mrija upi uliominywa ?! Huu ulioruhusu makinikia bila maelezo au huu wa 16% daraja la pili ?!

Au matani ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha Mheshimiwa RAIS kumlipia faini Mchungaji Msigwa ili atoke gerezani, kimedhihirisha Uhuru wa mahakama nchini Tanzania.

Mheshimiwa Rais ambaye ndiye humteua mwendesha Mashtaka(DPP), Majaji na kuwaapisha mawakili angeweza tu kuagiza Mchungaji Msigwa

a) Afutiwe mashtaka au
b) Aachiwe huru bila faini
c) Aachiwe Huru kwa dhamana n.k

Mheshimiwa Rais, hakuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuruhusu mwenendo wa kesi ufikie Mwisho.

Katika nchi zisizoruhusu Uhuru wa mahakama. Mheshimiwa Rais hawezi kulipa faini ili kumnusuru ndugu yake na kifungo wala ndugu wa Rais hawezi kushtakiwa wala kutuhumiwa.

Hata kwa Dokta Mashinji aliyehamia CCM kutoka Chadema, katika nchi majirani zetu, kamwe asingeweza kuhukumiwa, kulala gerezani wala kudaiwa faini.

Mheshimiwa Rais, umetudhihirishia watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba, Mahakama za Tanzania zipo huru, nawe unaunga mkono Uhuru wa Mahakama.

Mara zote unapoapisha mawakili na kuteua majaji, umekuwa ukihimiza haki, uwajibikaji na uzalendo kwa mhimili wa Mahakama. Ndio maana nasema.

Bravo Mheshimiwa Rais, kudhihirisha Uhuru wa Mahakama nchini, Watanzania tumuunge mkono
Taahira wewe ujielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi
Kesi ilisikilizwa hadharani na ushahidi ukatolewa hadharani, wakili wa utetezi , Kibatala aliiomba Mahakama itoe adhabu ya faini badala ya faini na kifungo, Kama wakili alikiri, wewe je?
Unategemea Kibatala angefanya nini? Au hujui Mahakama zinavyoendeshwa? Kuwaombea adhabu ndogo siyo kwamba anakubaliana na Hakimu. Usipokubaliana na Hakimu unachopaswa kufanya ni kukata rufaa kwenye superior court.
 
I
Wewe kweli bado una kuwa, International community inatetea maslahi yake kiuchumi wala sio hukumu za kimahakama. Hofu yao ni mirija ya wizi wa rasilimali za nchi kukatwa na JPM. Hivyo vinatafutwa tu visingizio.
Utasikia hali na Uhuru wa kujieleza, tatizo ni haki na Uhuru wa kupowa na mabeberu ndizo zimeminywa.
Usidanganyike, kuwa mzalendo, pambana kwa maslahi ya Taifa

Q. Mirija ya wizi wa kitu gani?

Q. Ni nani alikua akiibia nchi na kitu gani kiliibiwa? Mtaje...

Q. Wakati inaibiwa serikali ya CCM ilikua wapi?.
 
Back
Top Bottom