Jambo la ajabu kwenye hii video inaonekana kama anajirekodi mwenyewe..Jiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.
Pole yao..Hawana haja a mafundisho watakiri tu na kuungama basi
Ima
Na wewe kama huwezi kuuelezea ujasusi tulia kimya mwachie nguli mwenyewe Yeriko Nyerere....Ww hujui ujasusi ni nini kwa hiyo wakati mwingine unakaa kimya kwa kitu usichokijua.
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.
Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji wao kuvuja.
Jamaa mjanja, kaona wanawake wanavyomsifia jamaa anajua kuchanganya zege kaona ajihami mapema na mkewe.Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.
Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji wao kuvuja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa wwWamerudi na video au mikono mitupu?
Umeionea wap mkuu. Me sijaiona aiseeKwa yale mauno lazma mtu urudi ulipotoka..kondoo analiwa mzima mzima
Wewe unaejua toa ufafanuzi.mumeulizwa kategeshewa vipi na video anajirekodi mwenyewe? Kama huna maelezo mengine zaidi ya hayo basi ungewapostia majasusi wenzioWw hujui ujasusi ni nini kwa hiyo wakati mwingine unakaa kimya kwa kitu usichokijua.
Kategeshewa kivipi? Labda useme wamemrogaJiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.
Wakaungame kwa Askofu ili iweje,Askofu pia ana madhambi na mapungufu yake. Kama ni kuungama mtu aungame kwa Mungu wake na si binadamu.KWA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI LAZIMA WAKAUNGAME KWA ASKOFU MAANA HATA PADRE HAWEZI KUSAMEHE HIYO DHAMBI...... hao ni waasi na wameasi dini dhambi kubwa sana hiyo.
Mapenzi yanalevya...alijirecord under influence ya mahaba. Ni kama ile mtu anatukana watu katikati ya mahaba akishituka ndio ishapita hivyo.Jambo la ajabu kwenye hii video inaonekana kama anajirekodi mwenyewe..
Ukatoliki ni dini?KWA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI LAZIMA WAKAUNGAME KWA ASKOFU MAANA HATA PADRE HAWEZI KUSAMEHE HIYO DHAMBI...... hao ni waasi na wameasi dini dhambi kubwa sana hiyo.
utajua mwenyewe..... lakini sheria yao kwenye katekisimu yao ndivyo inavyotaka.Ukatoliki ni dini?