IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Jambo la ajabu kwenye hii video inaonekana kama anajirekodi mwenyewe..Jiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.