Braza wangu na familia yake leo wamerudi tena kanisa katoliki kutoka ufufuo na uzima.

Braza wangu na familia yake leo wamerudi tena kanisa katoliki kutoka ufufuo na uzima.

Jiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.
Jambo la ajabu kwenye hii video inaonekana kama anajirekodi mwenyewe..
 
WAPELEKE MIREMBE KWANZA kuona akili yao; maana najua ni taahira cases tu huna kaka hapo

Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.

Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji wao kuvuja.
 
Ndugu zako wana akili ndogo. Kanisa ni Imani kati yako na Mungu. Alichokifanya Gwajima ni dhambi ya kawaida tu.

Mwambie ndugu yako hata RC kuna maaskofu mashoga na wafiraji. Kuna maaskofu walishiriki mauaji ya halaiki na ni genociders
 
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.

Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji wao kuvuja.
Jamaa mjanja, kaona wanawake wanavyomsifia jamaa anajua kuchanganya zege kaona ajihami mapema na mkewe.
 
KWA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI LAZIMA WAKAUNGAME KWA ASKOFU MAANA HATA PADRE HAWEZI KUSAMEHE HIYO DHAMBI...... hao ni waasi na wameasi dini dhambi kubwa sana hiyo.
 
Ndio tatizo la kumuabudu mwanadamu badala ya Mungu na kumuona mwanadamu mwenzio ni kiungo kati ya wewe na Mungu, siku akichepuka unaona umesalitiwa vibaya sana
 
Ukiwa mchungaji raha sana, unawapiga pesa na wake zao unawatafuna.
 
59881847_325256851487123_7979623487904758851_n.jpg
 
Ww hujui ujasusi ni nini kwa hiyo wakati mwingine unakaa kimya kwa kitu usichokijua.
Wewe unaejua toa ufafanuzi.mumeulizwa kategeshewa vipi na video anajirekodi mwenyewe? Kama huna maelezo mengine zaidi ya hayo basi ungewapostia majasusi wenzio
 
Jiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.
Kategeshewa kivipi? Labda useme wamemroga
 
KWA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI LAZIMA WAKAUNGAME KWA ASKOFU MAANA HATA PADRE HAWEZI KUSAMEHE HIYO DHAMBI...... hao ni waasi na wameasi dini dhambi kubwa sana hiyo.
Wakaungame kwa Askofu ili iweje,Askofu pia ana madhambi na mapungufu yake. Kama ni kuungama mtu aungame kwa Mungu wake na si binadamu.
Hata hivyo hakuna kifungu kinachomkataza Askofu kupiga bakambu. Kibaya ni hiyo video tu.
 
Jambo la ajabu kwenye hii video inaonekana kama anajirekodi mwenyewe..
Mapenzi yanalevya...alijirecord under influence ya mahaba. Ni kama ile mtu anatukana watu katikati ya mahaba akishituka ndio ishapita hivyo.

Dada ni handler mzuri...kamdirect apendavyo na baba akajaa. Heshima kwa papuchi.
 
Back
Top Bottom