Mzee kauza meche,katembelea rimu dadadekiJiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.
Hahahaha uku kdh uu na uku hhhahhaha jamaa balaaKwa yale mauno lazma mtu urudi ulipotoka..kondoo analiwa mzima mzima
Tena bwege jamaa anajirecors mwenyee anarudhisha simu ionyeshe kiuno hhahha gwajima miuno heheKategeshewa vipi na mtu anajirekodi mwenyewe mkuu?
Hivi unavyoiona hiyo video unafikiri ndio ilikuwa mara yao ya kwanza kubanjuka?walishabanjuka na kuzoeana ndivyo inavyokuwa,kama hujui ujasusi pia soma historia ya samsoni na delila utanielewa vzr.
Ndio tatizo la kumuabudu mwanadamu badala ya Mungu na kumuona mwanadamu mwenzio ni kiungo kati ya wewe na Mungu, siku akichepuka unaona umesalitiwa vibaya sana
Sijakubali hata ila mzinzi mmoja hawezi kunifanya nibadili mfumo wa maisha yanguNa wewe umekubali huo upuuzi?
Kuandika mipasho ni ugwiji wa upumbavu, kwa kitisho gani alichonacho mapaka aundiwe yeye zengwe? Kalagabaho, upumbavu ni kuficha upumbavu kwa kukejeli wasio wapumbavu kwa kisingizio cha siri.Ningekuambia anagombea wapi, ila tatizo unauliza kwa kejeli, unajiona unajua kumbe hujui, na hiyo ndiyo maana ya upumbavu
Sijakubali hata ila mzinzi mmoja hawezi kunifanya nibadili mfumo wa maisha yangu
Ok, hii ni ishu ya kitengeneza, inahitaji akili kubwa kujua ukweli, yaweza kuwa hata victim anahusika kwenye mpango, ni hisia tu lakini
Kuandika mipasho ni ugwiji wa upumbavu, kwa kitisho gani alichonacho mapaka aundiwe yeye zengwe? Kalagabaho, upumbavu ni kuficha upumbavu kwa kukejeli wasio wapumbavu kwa kisingizio cha siri.
Nawe una akili ndogo. Mada iliyopo mezani si video ni suala la Kaka na mkewe kuhama kanisa.Hapa tunajadili Gwajima wa Ufufuo na Uzima, na siyo Mapadri wa RC.
Kwenye ile video yupo Gwajima na mwanamke Fulani. Hakuna padri.
Nawe una akili ndogo. Mada iliyopo mezani si video ni suala la Kaka naomba mkewe kuhama.
Alipohamia ni sehemu ya mjadala pia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wamerudi na video au mikono mitupu?
PointWaende wakaungame na waanze mafundisho ya Wakatekumeni
Watapokelewa, na waamini kanisani, na watakiri KANUNI YA IMANI, sio kubatizwa tena. hahahahahahWaende wakaungame na waanze mafundisho ya Wakatekumeni
Gwajima mwenyewe kataja mambo ya uchaguzi, hivi mpaka hapo hujaelewa ujasusi umefanywa kwa lengo gani?
Neno uchaguzi kalirudia Mara mbili, akimaanisha kwamba kafanyiwa hujuma kijasusi kwa lengo la kumshusha credibility.
Chemsha bongo!