Mzee kauza meche,katembelea rimu dadadekiJiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.