Braza wangu na familia yake leo wamerudi tena kanisa katoliki kutoka ufufuo na uzima.

Braza wangu na familia yake leo wamerudi tena kanisa katoliki kutoka ufufuo na uzima.

Jiwe na Bashite wamemmaliza mazima Gwajima,ogopa kitu kinaitwa ujasusi.
Bashite asingeweza msamehe gwajima kirahisi namna ile.
Kiujumla Gwajima hana tena uhalali wa kusimama madhbahuni na kukemea uzinzi.
Watu wamemtegeshea msichana mrembo na amenasa mazima.
Mzee kauza meche,katembelea rimu dadadeki
 
Hivi unavyoiona hiyo video unafikiri ndio ilikuwa mara yao ya kwanza kubanjuka?walishabanjuka na kuzoeana ndivyo inavyokuwa,kama hujui ujasusi pia soma historia ya samsoni na delila utanielewa vzr.

Huna tofauti na aliyekuzaa, I guess kwako siyo tusi
 
Ndio tatizo la kumuabudu mwanadamu badala ya Mungu na kumuona mwanadamu mwenzio ni kiungo kati ya wewe na Mungu, siku akichepuka unaona umesalitiwa vibaya sana

Na wewe umekubali huo upuuzi?
 
Ningekuambia anagombea wapi, ila tatizo unauliza kwa kejeli, unajiona unajua kumbe hujui, na hiyo ndiyo maana ya upumbavu
Kuandika mipasho ni ugwiji wa upumbavu, kwa kitisho gani alichonacho mapaka aundiwe yeye zengwe? Kalagabaho, upumbavu ni kuficha upumbavu kwa kukejeli wasio wapumbavu kwa kisingizio cha siri.
 
Sijakubali hata ila mzinzi mmoja hawezi kunifanya nibadili mfumo wa maisha yangu

Ok, hii ni ishu ya kitengeneza, inahitaji akili kubwa kujua ukweli, yaweza kuwa hata victim anahusika kwenye mpango, ni hisia tu lakini
 
Kuna wakati nimewahi kumuona humu Gwajima,aje basi tujumuike kwenye huu mjadala unaomgusa kwa namna moja au nyingine
 
Kuandika mipasho ni ugwiji wa upumbavu, kwa kitisho gani alichonacho mapaka aundiwe yeye zengwe? Kalagabaho, upumbavu ni kuficha upumbavu kwa kukejeli wasio wapumbavu kwa kisingizio cha siri.


Ukitoa povu haisaidii zaidi sana unadhihirisha upumbavu wako
 
Hapa tunajadili Gwajima wa Ufufuo na Uzima, na siyo Mapadri wa RC.

Kwenye ile video yupo Gwajima na mwanamke Fulani. Hakuna padri.
Nawe una akili ndogo. Mada iliyopo mezani si video ni suala la Kaka na mkewe kuhama kanisa.

Alipohamia ni sehemu ya mjadala pia
 
Yani hakunaga connection na Mungu moja kwa moja bila hapo kati kuwepo kitu.
 
Gwajima mwenyewe kataja mambo ya uchaguzi, hivi mpaka hapo hujaelewa ujasusi umefanywa kwa lengo gani?

Neno uchaguzi kalirudia Mara mbili, akimaanisha kwamba kafanyiwa hujuma kijasusi kwa lengo la kumshusha credibility.


Chemsha bongo!

Swali langu ni waliomfanyia hvo wametarget kitu gan kwenye uchaguz ambacho Gwajima anacho? Ninachoamin ni kuwa hyo ni live Gwajima alifanya uzinzi, kama ni ujasusi basi yule binti alitumiwa na mabaharia, but kiuhalisia jamaa alitongoza na demu akakubali akaenda kumla ila bahati mbaya demu alikuwa na mission zingine nyuma ya pazia....

Ni kama tu samson na delila , Majamaa walijua mdau anapenda wanawake, wakamtumia chambo akakimeza, Gwajima naye anapenda wanawake naye alitumiwa chambo akakimeza....no editing wala uchawi, kila mmoja hukamatika kwa tamaa zake, in short wamempiga pabaya sana jamaa, na inawezekana wanazo zingine wanasubir ajifarague saana ndo warelease tena
 
Back
Top Bottom