Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.
Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe inayodhaniwa na watu wengi kuwa ni ya mchungaji wao kuvuja.
Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe inayodhaniwa na watu wengi kuwa ni ya mchungaji wao kuvuja.