Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe ndio unajiona jasuuuuuuuusi mwenyewe?
Hebu acheni utani jamani. Baba mchungaji kajikwaa kaanguka full stop. Hakuna cha ujasusi wala nini. Shit happens in life. Awe mpole yatapita
Ndugu zako wana akili ndogo. Kanisa ni Imani kati yako na Mungu. Alichokifanya Gwajima ni dhambi ya kawaida tu.
Mwambie ndugu yako hata RC kuna maaskofu mashoga na wafiraji. Kuna maaskofu walishiriki mauaji ya halaiki na ni genociders
Kategeshewa kivipi? Labda useme wamemroga
Wakaungame kwa Askofu ili iweje,Askofu pia ana madhambi na mapungufu yake. Kama ni kuungama mtu aungame kwa Mungu wake na si binadamu.
Hata hivyo hakuna kifungu kinachomkataza Askofu kupiga bakambu. Kibaya ni hiyo video tu.
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.
Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji w
Hivi ni nani aliewaroga hawa watu? kutokana na kukua kwa spidi ya teknolojia mtu mwenye nia ovu anaweza akatumia teknolojia kutengeza picha au video chafu ikimuonyesha mtu fulani au mchungaji fulani akifanya jambo ovu, sasa kwa wale wanaopenda kuzipokea taarifa hizo ka zilivyo na kuziamini pasipo kuzichuja unaweza ukajikuta unamtukana huyo mchungaji au kama ni muumini wake unaweza hama hilo kanisa na nakua na maneno mengi juu yake ya kumkashifu na kujikuta wewe ndio unaetenda dhambi huku yeye akiwa salama rohoni na mwilini. Mathalani mtu anaweza akaediti picha ya mchungaji wako amekaa na demu wanakula vyombo (pombe) akaisambaza mitandaoni wewe ukaiona na ukafanya upesi kuhukumu na kumsemea mabaya yawezekana hata ukahama kanisa lake, hapo ww ndio utakua umetenda uovu na yeye atazidi kuimarika zaidi kirohoHawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.
Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji wao kuvuja.
Hujaiona mkuu?Bila video ni ngumu kuamini.
Na huko akiambiwa na wajinga Paroko amebaka mwanafunzi atahamia wapi.
Mzee unayajua mauno?Kwa yale mauno lazma mtu urudi ulipotoka..kondoo analiwa mzima mzima
Sijaiona.Hujaiona mkuu?
Hainiingii akilini, yaani unataka kusema demu alimwambia baby tujirekodi hlf yeye asionyeshe sura yake. Najua mapenzi yana ushawishi mkubwa na Wala simjudge gwajima kwasababu na yy ni binadamu. Ninashangaa unafiki wa hawa watu wanaojiita watumishi wa Mungu. Ni heri ubaki mtu wa kawaida kuliko kujidai unamtumikia Mungu ihali unafanya Kama sie wengine tunaoonekana hatumjui Mungu.Hivi unajua mwanaume anaweza kulainishwa na mwanamke na akafanya chochote?
Ulishaona mwanaume anaikana familia kisa ni kimada?
Kama jibu ni ndiyo, basi usishangae Gwajima kukirekodi maana ni jambo dogo sana kulinganisha na mengine ambayo mwanaume anaweza kufanya kwa ushawishi wa mwanke.
Baby mambo!
Hainiingii akilini, yaani unataka kusema demu alimwambia baby tujirekodi hlf yeye asionyeshe sura yake. Najua mapenzi yana ushawishi mkubwa na Wala simjudge gwajima kwasababu na yy ni binadamu. Ninashangaa unafiki wa hawa watu wanaojiita watumishi wa Mungu. Ni heri ubaki mtu wa kawaida kuliko kujidai unamtumikia Mungu ihali unafanya Kama sie wengine tunaoonekana hatumjui Mungu. . .
Mi mzima Kaka, umeenda msibani? Maana Jana ulikuwa unalialia
Hahahahahaha dahWamerudi na video au mikono mitupu?
GoodNipo msibani
Good
Na huko akiambiwa na wajinga Paroko amebaka mwanafunzi atahamia wapi.