Braza wangu na familia yake leo wamerudi tena kanisa katoliki kutoka ufufuo na uzima.

Braza wangu na familia yake leo wamerudi tena kanisa katoliki kutoka ufufuo na uzima.

Na huko akiambiwa na wajinga Paroko amebaka mwanafunzi atahamia wapi.
 
Kwa hiyo wewe ndio unajiona jasuuuuuuuusi mwenyewe?
Hebu acheni utani jamani. Baba mchungaji kajikwaa kaanguka full stop. Hakuna cha ujasusi wala nini. Shit happens in life. Awe mpole yatapita


Gwajima mwenyewe kataja mambo ya uchaguzi, hivi mpaka hapo hujaelewa ujasusi umefanywa kwa lengo gani?

Neno uchaguzi kalirudia Mara mbili, akimaanisha kwamba kafanyiwa hujuma kijasusi kwa lengo la kumshusha credibility.


Chemsha bongo!
 
Ndugu zako wana akili ndogo. Kanisa ni Imani kati yako na Mungu. Alichokifanya Gwajima ni dhambi ya kawaida tu.
Mwambie ndugu yako hata RC kuna maaskofu mashoga na wafiraji. Kuna maaskofu walishiriki mauaji ya halaiki na ni genociders


Hapa tunajadili Gwajima wa Ufufuo na Uzima, na siyo Mapadri wa RC.

Kwenye ile video yupo Gwajima na mwanamke Fulani. Hakuna padri.
 
Kategeshewa kivipi? Labda useme wamemroga

Hivi unajua mwanaume anaweza kulainishwa na mwanamke na akafanya chochote?

Ulishaona mwanaume anaikana familia kisa ni kimada?

Kama jibu ni ndiyo, basi usishangae Gwajima kukirekodi maana ni jambo dogo sana kulinganisha na mengine ambayo mwanaume anaweza kufanya kwa ushawishi wa mwanke.


Baby mambo!
 
Wakaungame kwa Askofu ili iweje,Askofu pia ana madhambi na mapungufu yake. Kama ni kuungama mtu aungame kwa Mungu wake na si binadamu.
Hata hivyo hakuna kifungu kinachomkataza Askofu kupiga bakambu. Kibaya ni hiyo video tu.


Wewe una ugwajima nini!
 
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.

Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji w
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.

Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara baada ya vidio ya ya ngono uzembe mchungaji wao kuvuja.
Hivi ni nani aliewaroga hawa watu? kutokana na kukua kwa spidi ya teknolojia mtu mwenye nia ovu anaweza akatumia teknolojia kutengeza picha au video chafu ikimuonyesha mtu fulani au mchungaji fulani akifanya jambo ovu, sasa kwa wale wanaopenda kuzipokea taarifa hizo ka zilivyo na kuziamini pasipo kuzichuja unaweza ukajikuta unamtukana huyo mchungaji au kama ni muumini wake unaweza hama hilo kanisa na nakua na maneno mengi juu yake ya kumkashifu na kujikuta wewe ndio unaetenda dhambi huku yeye akiwa salama rohoni na mwilini. Mathalani mtu anaweza akaediti picha ya mchungaji wako amekaa na demu wanakula vyombo (pombe) akaisambaza mitandaoni wewe ukaiona na ukafanya upesi kuhukumu na kumsemea mabaya yawezekana hata ukahama kanisa lake, hapo ww ndio utakua umetenda uovu na yeye atazidi kuimarika zaidi kiroho
 
Actually, kuna padri alikamatwa na polisi maeneo ya UDSM miaka mingi imepita sasa alikuwa anamwingilia kijana kinyume cha maumbile (soma: https://www.jamiiforums.com/threads/tanzia-padri-sixtus-kimaro-afariki-dunia.759168/). Alishitakiwa mahakamani lakini mwishoe alishinda kesi japokuwa alikamatwa katika tendo lenyewe na haikuwa mara ya kwanza kumwingilia huyo kijana. Alikuwa kama mke wake vile. Imani yetu iwe kwa Mungu na siyo kwa binadamu wenzetu.
Na huko akiambiwa na wajinga Paroko amebaka mwanafunzi atahamia wapi.
 
Kwa yale mauno lazma mtu urudi ulipotoka..kondoo analiwa mzima mzima
Mzee unayajua mauno?
Demu alikuwa kalala kama nyoka tu. Makamzi ilikuwa ni kwa baba askofu tu. Mama askofu alikuwa anaguna tu.
Hata kaushanga mama askofu oooo.
 
Hao kama wanarudi Kanisa Katoliki kwasababu hiyo bado hawajalijua vyema kanisa! Wanapaswa kujua mafundisho ya kanisa badala ya kuyumbishwa na watu, mapadre, wachungaji.

Unatoka kwenye Ukatoliki upo shallow kwenye mafundisho yake hata kama unaenda kila misa unaenda huko unawekewa kichwani vitu vingine na kuviamini alafu unarudi tena! Usipojua ujifunze nini si utarukwa akili na kujianzishia kanisa?

Tafuta uso wa Mungu ukiwa ndani ya kanisa na hao wengine weka chujio kusikiliza wanachoubiri ili uchukue kinachofaa tu. Kumjua Yesu binafsi ndio silaha wala usidanganywe mambo mengine. Ukimjua Yesu binafsi utashiriki misa kikamilifu na sio kama desturi. Pia utaelewa mafundisho ya kanisa kwa usahihi na kuacha kutangatanga.
 
Amen, kanisa ni moja tu katoliki la mitume ndio liliasisiwa na kristu, mengine ni michepuko ya kanisa tu.
 
Hivi unajua mwanaume anaweza kulainishwa na mwanamke na akafanya chochote?

Ulishaona mwanaume anaikana familia kisa ni kimada?

Kama jibu ni ndiyo, basi usishangae Gwajima kukirekodi maana ni jambo dogo sana kulinganisha na mengine ambayo mwanaume anaweza kufanya kwa ushawishi wa mwanke.


Baby mambo!
Hainiingii akilini, yaani unataka kusema demu alimwambia baby tujirekodi hlf yeye asionyeshe sura yake. Najua mapenzi yana ushawishi mkubwa na Wala simjudge gwajima kwasababu na yy ni binadamu. Ninashangaa unafiki wa hawa watu wanaojiita watumishi wa Mungu. Ni heri ubaki mtu wa kawaida kuliko kujidai unamtumikia Mungu ihali unafanya Kama sie wengine tunaoonekana hatumjui Mungu.
.
.
Mi mzima Kaka, umeenda msibani? Maana Jana ulikuwa unalialia
 
Hainiingii akilini, yaani unataka kusema demu alimwambia baby tujirekodi hlf yeye asionyeshe sura yake. Najua mapenzi yana ushawishi mkubwa na Wala simjudge gwajima kwasababu na yy ni binadamu. Ninashangaa unafiki wa hawa watu wanaojiita watumishi wa Mungu. Ni heri ubaki mtu wa kawaida kuliko kujidai unamtumikia Mungu ihali unafanya Kama sie wengine tunaoonekana hatumjui Mungu. . .
Mi mzima Kaka, umeenda msibani? Maana Jana ulikuwa unalialia


Nipo msibani
 
Back
Top Bottom