Umeamdika gazeti refu ulichoandika pumba tu Brazil hawaitaji kupangiwa cha kuongea hawataki kuwa wanafiki ndiyo maana wamefukuza balozi wa Israel kulinda heshimu ya nchi yao Israel ni nani anatakq kupangia kila nchi cha kuongea Waziri wa Israel mpuuzi mmoja anamwambia Rais wa Brazil aombe msamahaššIsrael ni kisiki cha mpingu, pia ni jiwe la pembeni, rais wa Brazil hawezi kubadili chochote, Israel angesikiliza kelele za nje angekuwa ameshafutwa pale Middle East, Palestinians hawawezi kufanikiwa kwa kutumia watu wa nje, hamas ateke raia wa nchi na kuua then kakimbia kujificha kwenye makazi ya watu na kuwatumia kama ngao, Israel anajitetea kwa kuwasaka hamas kelele zimekuwa nyingi, Hamas ameua na kuteka mataifa kadha yakafanya maandamano ya kupongeza hamas, kwa vyovyote vile Israel inajua ilikubali kuwa mnyonge imeisha. Na kutarajia vita kubwa hapo middle East. Ipo siku moto utalipuka kati ya Israel vs Iran, ni vita ambayo itakuwa na madhara makubwa sana kwa pande zote 2 lakini vita hiyo haitachukua muda mrefu ni mwezi mmoja tu Iran watapoteana.
Usilete ushabiki mandazi Israel walimuita balozi wa. brazil nakutoa kalipio kwake wakati yupo Israel na wakamwambia Rais wako aombe msamaha. JF siyo sehemu ya porojo weka hiyo taarifa unayosema.Umechelewa kupata taarifa
Israel ndo waliamua kumrudisha nyumbani balozi wao kutoka Brazil kufuatia Rais wa Brazil kufananisha kinachoendelea Gaza na kile alichofanya Hitler kwa Wayahudi.
Kwa hiyo sahihisha taarifa yako
Brazil Ndo nchi yenye sanamu kuubwa Duniani ya atakaye Fanya unyakuo ambayo inatandikwa radi mara Kwa mara.Raia wa Brazil baada ya kuwaambia waache kuuwa watoto Gaza.
Wote wakatolikimilioni 216,422,446
Kichapo kiendelee. Mwarabu hasikilizi kitu bila bastolaWanaukumbi.
Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel.
Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote.
Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake walimfokea na kumtolea kauli ya kalipio rais wa Brazil baada ya kuwaambia waache kuuwa watoto Gaza.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1759637758547534123?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Safi sana hii inatusaidia sisi kupunguza athari za mauaji kule palestina na pia tunapata nguvu. Tunafanyia wapi sherehe? Tuitane tushangilie jambo hili la kutupa nguvu sana.Wanaukumbi.
Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel.
Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote.
Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake walimfokea na kumtolea kauli ya kalipio rais wa Brazil baada ya kuwaambia waache kuuwa watoto Gaza.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1759637758547534123?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
We jamaa daaah.... Sisi tunafurahia wewe unakandamiza maumivu.Haitabadili maana kwa hamas itafutwa kwenye uso wa dunia na mzayuni
Leo unafuraha kwa kuwa unapata kinywaji chako pendwa. Lete habari nyingine sheikh wangu. Waisrael nasikia wameisha wote kule Gaza.Uharo mtupuš¤£