Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Duh!Mtu yupo ndani ukimwambia "toka" ni tofauti kabisa na akiwa kwake ukamwambia "usije" kwangu we mjamaa.Hapo ni "anto" na wala si "synonyms"!Lugha inanisumbua mimi au wewe??
Kuzuiliwa is synonymously na kufukuzwa.
Je Israel ilipanga kutokumrudisha balozi wao Brasilia??
Jibu hapana,ila suala la Brasilia kumpiga marufuku ni sawa na kumfukuza yani is synonymously.
Ila kipigo dhidi ya magaidi kiko pale pale. Hakuna taifa linavumilia kufuga magaidiWanaukumbi.
Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel.
Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote.
Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake walimfokea na kumtolea kauli ya kalipio rais wa Brazil baada ya kuwaambia waache kuuwa watoto Gaza.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1759637758547534123?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Uzuri Israeli hasikilizi mtu, hata dunia nzima imtenge dozi iko pale pale⚡️Bolivia: Former Bolivia President Morales stands in solidarity with Brazilian President Lula da Silva: Being declared persona non grata by a genocidal government that slaughters children is an advantage.
Samahani niul8ze tu ingekuwa wewe raia wako wametekwa na watekaji wamekimbilia huko kwao pamoja nao ungefabyaje?.Umeamdika gazeti refu ulichoandika pumba tu Brazil hawaitaji kupangiwa cha kuongea hawataki kuwa wanafiki ndiyo maana wamefukuza balozi wa Israel kulinda heshimu ya nchi yao Israel ni nani anatakq kupangia kila nchi cha kuongea Waziri wa Israel mpuuzi mmoja anamwambia Rais wa Brazil aombe msamaha😂😂
Taifa lina watu milioni 216,422,446 liombe msamaha kwa wapuuzi wanapigana vita na watoto.
Baba yao Marekani hawezi kumuomba msamaha.
Na mimi naomba niulize.Samahani niul8ze tu ingekuwa wewe raia wako wametekwa na watekaji wamekimbilia huko kwao pamoja nao ungefabyaje?.
Kwahiyo Israeli ifanyaje kupata raia wake waliofichwa kwenye makazi ya raia?
Mi huwa najua kuwa usifanye ugomvi wa kurusha mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo
Umejibu sahihi sana. Narudi umejibu sahihi.Na mimi naomba niulize.
Hivi mfano raia wako kila mwaka wanatekwa na jeshi la nchi jirani tena hasahasa watoto na huswekwa jela za watu wazima je wewe ungefanyaje kuwaokoa??
Hamas alifanya hivyo kuokoa watoto chini ya miaka 14 wanaotekwa na IDF kila mwaka na kukatishwa ndoto zao kwa kisingizio eti wanatishia jeshi la IDF ,Hivyo ngoma droo Israel alianza.
Ningepambana nao wahusika siyo kuuwa watoto zaidi ya 15.000 na bado mateka hawajapatikana.Samahani niul8ze tu ingekuwa wewe raia wako wametekwa na watekaji wamekimbilia huko kwao pamoja nao ungefabyaje?.
Kwahiyo Israeli ifanyaje kupata raia wake waliofichwa kwenye makazi ya raia?
Mi huwa najua kuwa usifanye ugomvi wa kurusha mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo
RASMI BRAZILI YAINGIA VITANI NA ISRAELI 🇧🇷 🇮🇱Ila kipigo dhidi ya magaidi kiko pale pale. Hakuna taifa linavumilia kufuga magaidi
Sasa kama hao HAMASI wa.ejificha kwenye mapaja ya akina mama wafanywaje? Ukowa mwanaume usitukane halafu ukakimbilia nyumbani utaleta shida ya famolia wee zipige tu huko nje.Ningepambana nao wahusika siyo kuuwa watoto zaidi ya 15.000 na bado mateka hawajapatikana.
Halafu unqanza kuuliza pale unapopenda wewe watoto, wanawake. vijana walikamatwa kwa kutekwa na Israel kama wangekuwa ndugu zako ungefanyaje?
Hao ndugu wanajuana waache wachapane ataezidiwa watakaa mezani.Umejibu sahihi sana. Narudi umejibu sahihi.
Nakazia kile kinaendelea acha kiendelee . Israel anateka anachinja wapalestina tena sio juzi kwa miaka zaidi ya 50 kln pia palestina anateka na kuua kwa zaidi ya miaka 50 Atakayezidiwa ataomba poo
Thats allHao ndugu wanajuana waache wachapane ataezidiwa watakaa mezani.
Hizo propanganda za maguani peke ndiyo wanaziqmini kama ingekuwa hivyo hao Hamas wamgeisha wote au Mabomu ya Israel yanachagua wakuwa.Sasa kama hao HAMASI wa.ejificha kwenye mapaja ya akina mama wafanywaje? Ukowa mwanaume usitukane halafu ukakimbilia nyumbani utaleta shida ya famolia wee zipige tu huko nje.
Ujinga kama huu ulifanywa pia na jeshi la ukraine wanapiga kutokea shule za watoto. Hamasi wak8panga mashambulizi yao pasipo kujiweka kwa raia israel tutawaona wajinga kuoiga watoto. Lkn si sasa
Wangeishaje? Wapo kwa raia. Au umeamua tusitumie ubongo wote. Tumieni ICJ sasa sio jeshil lenu la kupigana mmeficha sura na kuwa kwa wanawake na raiaHizo propanganda za maguani peke ndiyo wanaziqmini kama ingekuwa hivyo hao Hamas wamgeisha wote au Mabomu ya Israel yanachagua wakuwa.
Usiwe punguani wewe jeshi linashambulia hospitali, shule, kambi za wakimbizi wanauwa watoto zaidi ya 15.000 wanashindwa kupigana na Hamas walipo wanajulikana Gaza ni eneo dogo sana Kigamboni kubwa.Wangeishaje? Wapo kwa raia. Au umeamua tusitumie ubongo wote. Tumieni ICJ sasa sio jeshil lenu la kupigana mmeficha sura na kuwa kwa wanawake na raia
Usiwe punguani wewe jeshi linashambulia hospitali, shule, kambi za wakimbizi wanauwa watoto zaidi ya 15.000 wanashindwa kupigana na Hamas walipo wanajulikana Gaza ni eneo dogo sana Kigamboni kubwa.