Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwahio unataka kunambia ukristo haujakamilika kama tunavyo amini waislam ama unataka kunambia nn juu ya hili jambo....Hapo ndio pagumu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio unataka kunambia ukristo haujakamilika kama tunavyo amini waislam ama unataka kunambia nn juu ya hili jambo....Hapo ndio pagumu mkuu.
Cool down mkuu kumbuka aliyekufa ni shoga wa kibrazil na nywele zake tayari zishatengenezwa wigi atakalovaa mke wako pasaka sasa hasira za nini
Bora tu aolewe na Mwanamke Mzee(Sugar Mammy) kuliko kuolewa na dume.Mtu unamuomba Mungu uzae mtoto wa kiume halafu baadaye anakuja kuolewa
Mashoga adhabu zao kifo tu hakuna namna yaan...............Hasira ni ushoga wake wewe inakuuma nini hadi umuhukumu kifo??!!-- domo lako chafu linanuka kwa matusi kama choo cha stendi ya abiria.
Hakuna mtu mwenye akili sawa anayependa ushoga lakini adhabu ya ushoga ni KIFO??.
Yesu aliwaambia mayahudi kwamba "asiyekuwa na dhambi na ajaribu kumtupia jiwe yule kahaba"-- mbona wote walikimbia,[emoji1787][emoji1787], sasa wewe unajifanya ni "alien" umetoka mbinguni na hauna dhambi !!!!.
Mm naona tutajiua wote tupotee kwenye huu uso wa dunia[emoji22]Angekawekea sumu tu eeeee mwenye zimungu usinimpe huu mtihani maana na Mimi nitauwa
Labda utambue jambo moja, serikali yoyote inasimamia uhai wa watu ndio maana ukimuua mwizi unashitakiwa, pale kinachotazamwa ni uhai peke yake hayo mambo mengine ya ushoga, wizi hua ni agenda tunayoiita mengineyo.He he! Ambacho sikielewi hapa ni hiyo mahakama inatetea uhai au ushoga au vyote viwili!!!!
Waafrika tukopi Mambo ya maana lkn mengine tuwaachie wenyewe wenye mahakama za haki.
Umefurahi yeye kufungwa kisa nawewe shoga?Nenda pia kamsaidie kifungo chake kwa 900%.
Umefurahi yeye kufungwa kisa nawewe shoga?
Kuu mwanao ambae nishoga nizaidi ya ushujaa wakupigiwa mfano na kila mwana wa adamHuyo mama ni mjinga sana, kitendo cha mtu kuwa shoga ni jambo binafsi la fedheha na aibu sana lakini kitendo cha kuua mtu ni ukatili mkubwa sana tena unaua mwanao wa kumzaa!!??.
Majuto ni mjukuu, mtu mwenye akili hufikirii kabla hujatenda na mwehu hufanya mambo ya kiuenda wazimu.
Hata wewe inaonekana ni mwehu kama huyo shemeji yako.[emoji1787]
Inauma sana kuwa na Toto linakobolewaHuyo mama ni mjinga sana, kitendo cha mtu kuwa shoga ni jambo binafsi la fedheha na aibu sana lakini kitendo cha kuua mtu ni ukatili mkubwa sana tena unaua mwanao wa kumzaa!!??.
Majuto ni mjukuu, mtu mwenye akili hufikirii kabla hujatenda na mwehu hufanya mambo ya kiuenda wazimu.
Hata wewe inaonekana ni mwehu kama huyo shemeji yako.🤣
Wanaofira wanawake watapona kweli? Nusu ya watanzania watauwawa kwa kosa la ufiraji.Mimi naona wasiuawe mashoga tu, mtu yeyote akifanya dhambi yoyote auawe. Hakuna kuleana
Duh!..Wanaofira wanawake watapona kweli? Nusu ya watanzania watauwawa kwa kosa la ufiraji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo. Na yeye ndie aliyeumba tatizo hilo na pia akatufundisha jinsi ya kulitatua.Kama ni kweli Mungu yupo kwa nini huwa haachiwi kudeal na situation kama hizo? Kama Mungu yupo na mtoto akawa shoga basi muachie Mungu yeye mwenyewe atoe adhabu!
Mungu mwenye upendo wote, uwezo wote,huruma yote na nguvu zote kama anavyohubiriwa na dini zote, mataifa yote na makabila yote angekuwepo asingeweza kuumba tatizo ambalo utatuzi wake ni mauaji!Yupo. Na yeye ndie aliyeumba tatizo hilo na pia akatufundisha jinsi ya kulitatua.
Mama la mama kashatatua. 100%
Japokua mambo kama haya ilitakiwa serikali itatue yenyewe
Sent from my SM-A107F using Tapatalk
Ndie yeye mwenye huruma sana na pia ana hasira sana, kaumba Dunia na vilivyomo na mbingu na vilivyomo ndani yake, hana mshirika katika hilo.Mungu mwenye upendo wote, uwezo wote,huruma yote na nguvu zote kama anavyohubiriwa na dini zote, mataifa yote na makabila yote angekuwepo asingeweza kuumba tatizo ambalo utatuzi wake ni mauaji!