Brazil: Mama amuua mtoto wake kwa sababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Brazil: Mama amuua mtoto wake kwa sababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Dunia haiwezi kua na amani kama kila mtu afanye anachokitaka.

Mola wetu katuumba na akatufundisha kwa njia nyingi. Hata hukumu katufundisha. Japo wengi katika watu, tumeacha hukumu zake tukaleta zetu ambazo kila uchwao zinapitwa na wakati coz zimetoka kwa asiye mkamilifu.

Mfano: tunadai uhuru wa matashi!
Mbona mwizi akiiba mnamfunga? Je yeye mwizi hajapenda uhuru huo? Kama kaupenda kwa nini mnamfunga?

Hivyo hivyo, mola wetu katupa uhuru ambao unaendana na maslahi yetu sote, mwanaume uhuru wake uishie kwenye uanaume, sio eti akajigeuze demu, hapo uhuru umeisha anahitaji tiba. Na Tiba sahihi kabisa ni yeye kuondolewa... hasa hasa wale waliozoea kujifanya wanawake, hawawezi kuacha haka katabia kachafu.

Sent from my SM-A107F using Tapatalk
 
Tatiana Pereira amehukumiwa jela miaka 25 na miezi nane kwa kumuua makusudi mwanae wa kiume aliyefahamika kwa jina la Lozano (17) kisa ni shoga ambapo hakupendezwa na sexuality ya mwanae huyo.

Awali, mwanamke huyo aliwakodi jamaa wawili kwa majina ya Victor da Silva na Miller da Silva Barissa ili wamuue mwanae huyo. Jamaa hao(thugs) walimshushia kichapo kijana huyo hata hivyo walighairi kumuua ambapo mama mtu kuona hivyo alimua kuingia mwenyewe mzigoni kummaliza kumtoa uhai mwanae.

Akiwa Mahakamani mwanamke huyo amekiri kuua, lakini amepinga kumuua mwanae sababu ya kuwa shoga kwa kudai mwanae huyo alimtishia kumuua ndipo akamuwahi yeye.

Hata hivyo, Daria, baba mdogo/mkubwa wa Lozano akihojiwa na kituo cha TV nchini humo amempinga shemeji yake huyo kwa kusema, Lozano alikuwa ni kijana mpole, mwenye heshima na msikivu pia tayari alikuwa anafanya kazi, isipokuwa tatizo lake ni hiyo sexuality yake na siku zote mama mtu hakupendezwa na ndio sababu ya kumuua

Kwa upande mwingine jamaa waliokodishwa kumuua wao wamehukumiwa jela miaka 21 na miezi nane.
Akimaliza kifungo lazima atazuiwa kuingia marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wamemfunga kwa kosa lipi wakati kaua mtoto wake wa kuzaa

Jinga kweli wewe

Kwavile umezaa mwanadamu una ruhusa ya kumuua utakavyo?

Kwa katiba ya wapi hiyo?

Mtoto wako sio mfugo wako,hebu acheni hizi roho za animals!

Na wewe wazazi wako wana haki ya kukuchinja?

Sijui shule mlienda kuelimika kweli?
 
Huyo mama ni mjinga sana, kitendo cha mtu kuwa shoga ni jambo binafsi la fedheha na aibu sana lakini kitendo cha kuua mtu ni ukatili mkubwa sana tena unaua mwanao wa kumzaa!!??.

Majuto ni mjukuu, mtu mwenye akili hufikirii kabla hujatenda na mwehu hufanya mambo ya kiuenda wazimu.

Hata wewe inaonekana ni mwehu kama huyo shemeji yako.[emoji1787]
Uislam ndio unakufunza hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona wasiuawe mashoga tu, mtu yeyote akifanya dhambi yoyote auawe. Hakuna kuleana
Hapana mkuu, sio kila kosa/dhambi ni la kuuawa.

Ila hili la ushoga na mfano wake Linafaa kwa adhabu hiyo ili kulinda maslahi ya dunia kiujumla.

Utashangaa baadhi ya watu wanaropoka wakisema, "MSIWAHUKUMU WATU, WATAHUKUMIWA NA MOLA WAO"...

Mbona mwizi akiiba mnamuhukumu au nyinyi ni mola wake?

Ajabu sana akili hizi finyu.!!!


Sent from my SM-A107F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom