BRAZIL: Mtanzania, Felix Alphonce Simbu ashika nafasi ya 5 katika Marathon za Olimpiki

Si bure.... Huenda ametumia dawa za kusisimua misuli..... Achunguzwe haraka ikibainika atumbuliwe..... Serengeti boys wao waliedit miaka yao wakawa wanavionea vitoto vya watu ikaja kubainika... Huyu achunguzwe maana si kawaida yetu kuingia 10 bora... Ila wakiweka mchezo wa MAJUNGU tutashinda kihalali maana tunayaweza
 
Nomba kufahamu ni nani Mkiti wa kamati ya olimpiki hapa TZ? Bado ni Bayi au alishaondoka?
 
Wewe vipi? Au uko ugaibuni umesahau uTanzania wako?
Kua wa 5 is a big deal. Lini ulisha wahi kukuzima ndera ya Tanzania kwenye bango la Olimpiks?



...kwangu mimi kuwa wa 5 sio big deal...tunatofautiana..kwangu mimi kuwa wa 1,2 au 3 ndio big deal....maana ni medali....vigezo vyangu na vyako kupima
Wewe vipi? Au uko ugaibuni umesahau uTanzania wako?
Kua wa 5 is a big deal. Lini ulisha wahi kuona bendera ya Tanzania kwenye bango la Olimpiks?




.....we differ... Kwangu mi kuwa wa 1,2 ama 3 ndio big deal...kwangu ku
Wivuu wakibongoo ndioomaana mnapigana misumariii
.wivu wa mama yako kwa baba yako...sio huu....
 
Kapata medali gani mpaka tumsifie? next time mwambie aje na medali tutampatia haki yake
 

bado kiza kinene, wakati wa pombe si wakati wa kazi, ama unamaana hapa kazi tu hamna pombe, kupata suluhu ni majaliwa.
 
bado kiza kinene, wakati wa pombe si wakati wa kazi, ama unamaana hapa kazi tu hamna pombe, kupata suluhu ni majaliwa.
 
CONGRATS ZAKE HUYO BRO, HOLLAHHH TANZANIA
 
Mkuu nch
nchi kubwa mkuu Ila wanaokimmbia ni wambulu na wwanyaturu pekee,kazi IPO alaf sasa camp inawekwa Moshi sijui ili iweje
 
Luuss
Lushoto pia panafaa but Mbulu ndo penyewe wanatoka wafukuza upepo
 
ongera zake mkuu,,kwetu sisi huyo ndio bingwa wetu wa olimpiki.
 
Nashindwa kabisa kusema kusifia mtu hapati medali yeyote ila tunajadili kujitahidi pale sio eneo la ajali pale watu wanapambanaa eti kiume, sasa unaanza kusifia chenga wakati huna goli, ? Tukae chini tulie na nafsi zetu zinazoshindwa kila Leo.
Chenga ndiyo mwanzo wa kujua kucheza mpira. Hakuna aliyeanza kutembea kabla ya kutambaa na kunyenyukia vitu. Alphonce Felix Simbu ametufikisha Tano Bora za Olimpiki kwa Mara ya kwanza yangu michezo hii ianzishwe
 


UKIWA NA MAWAZO YA KIMASIKINI SHIDA SANA.

MASKINI HUWA SIKU ZOTE ANAWEKA MALENGO/MAWAZO YAKE KWENYE KIWANGO CHA CHINI NA MARA NYINGI HUWA ANAFANIKIWA KUYATIMIZA NA WANAENDELEA KUWA MASKINI MILELE.

WENYE MAWAZO YA KITAJIRI NI TOFAUTI KABISA KILA SIKU WANAWAZA KUWA JUU NA MAWAZO YAO NI VITU VIKUBWA HAWARIDHISHWI NA MAMBO MADOGO MADOGO.

TANGU MWAKA 1964 HAKUNA ALIYESHIKA NAMBA 5? WATANO 5 NA WAISHIRINI 20 WANATOFAUTI GANI? KAMA WOTE SIYO WASHIRIKI TU. NANI ATAKUMBUKA KUWA ALISHIKA NAMBA 5?

"THINK BIG AND GROW RICH"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…