Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Si bure.... Huenda ametumia dawa za kusisimua misuli..... Achunguzwe haraka ikibainika atumbuliwe..... Serengeti boys wao waliedit miaka yao wakawa wanavionea vitoto vya watu ikaja kubainika... Huyu achunguzwe maana si kawaida yetu kuingia 10 bora... Ila wakiweka mchezo wa MAJUNGU tutashinda kihalali maana tunayaweza