Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darling kila kitu ni dili hapo mjini....anzia DOWANS, RICHMOND ni mwendo wa madili tu
Ngoja niwasiliane na vijana wa kazi pale Gerezani au Mnadani najua sitakosa dili hilo.
Nakuaminia kichaa wangu! teh teh teh mambo Mzuka dili dili tu.....kula uliwe
Wazee wa mujini najua hili linawezekana kabisa. Natafuta ticket za dili nione mechi ya Brazil na Taifa Stairs, nilikuwa disappointed last time walipokuja Ivory coast, nilinunua ticket za 60,000 mbili na Mzenj wangu! Wakati nanunua ticket pale karibu Steers kule mjini kuna vijana walinifata brother nina ticket za dili nipe hiyo 60,000 nakupa mbili tickets. Nikawa na wasi wasi ila niliambiwa inawezekana ni ticket zenyewe mzee Chilla Tenga huwa anashirikiana na akina Mwakalebela kuwa na ticket za ziada. Niliignore wale vijana kuogopa kupigwa fake.
Tuliingia uwanjani nikiwa nimeshikana mkono na Mzenji. Tukaelekezwa kwenye lile jukwaa husika, nilitegemea kutakuwa na watu wastaarabu maana hata raisi alikuwa hapo kwa VIP. Chakushangaza kulikuwa na jamaa anakula mahindi ya kuchoma, mchafu mchafu hivi, anaongea hovyo hovyo nadhani pia alikuwa amelewa ombe za kiasili.
Katika uliza uliza nikaambiwa mjanja wa mjini huyo ticket yake ya dili huenda kanunua ticket ya 60,000 kwa buku 10. Na kweli baada ya kuulizia siku ya pili nikaambiwa mjini hapo wajinga ndio wanaoliwa. Kila tukio kubwa huwa kuna mambo ya dili.
Zis time nimeamua nioneka wa mujini nami, nitapata wapi ticket za dili naambiwa kila kitu dili hapo mjini hata ukitaka mega selebriti kuna watu wakuongea nao...
Nataka ticket ya dili siwezi lipia 400,000 hahahaha usawa huu mimi na mzenj
Ticket ya dili
Masa K
Mpwa lakini kumbuka ile ilikuwa ni Ivory hii ni braaaaaaaaaaazil! angalia usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia mpwa...ni heri hiyo hela ukabata Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi huku unadokolea mamcho kwenye TV yako...
Mpwa lakini kumbuka ile ilikuwa ni Ivory hii ni braaaaaaaaaaazil! angalia usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia mpwa...ni heri hiyo hela ukabata Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi huku unadokolea mamcho kwenye TV yako...
kumbe wataonyesha live? sasa Masa unaenda kufanya nini ama kupiga picha na robhino?
Nataka nionekane kwenye Supersort na Skysport channels TV dunia nzima! Halafu itajulikanaje kama ninazo?
Manyuki acha wizi weweeeeeeee
sasa vil euliona wengine wameingia na za dili na ikatiki, jaribu sasa kama hautaliwa
njoo mjini pale pale samora nje ya steers siku watakayo uza utapata za dili...............kilio chake ulie n amzenji mie sipo maana hiyo ni karata tatu
Nataka nionekane kwenye Supersport na Skysport channels TV dunia nzima! Halafu itajulikanaje kama ninazo?
hivi ni lazimauende?????????????????? ukiangalia TBChutaona??
wakiuza chini ya elfu kumi nishtue na mie ninunue lengo likiwa kama lako.
Mpwa wacha nitest zali nikiliwa nitakaa kimya najua itakuwa imekula kwangu! ila nikiwin nitatangazia taifa la jamhuri ya JF
Pale nje ya ground la taifa kwenye parking karibia na kikituo cha daladala kuna wadau wanazibana za dili. wale jamaa wanadai wanazo hadi za Fainali ya World cup.
Chek nao.
Pale nje ya ground la taifa kwenye parking karibia na kikituo cha daladala kuna wadau wanazibana za dili. wale jamaa wanadai wanazo hadi za Fainali ya World cup.
Chek nao.