Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Ngoja niwasiliane na vijana wa kazi pale Gerezani au Mnadani najua sitakosa dili hilo.
 
Darling kila kitu ni dili hapo mjini....anzia DOWANS, RICHMOND ni mwendo wa madili tu

mhh kweli bora upate za dili tu, mana we unatoa 400 na mzenji wako wengne wanaingia kwa 50, yaani mambo ya tanzania ni shaghala bhaghala cjapata kuona.
 
Wazee wa mujini najua hili linawezekana kabisa. Natafuta ticket za dili nione mechi ya Brazil na Taifa Stairs, nilikuwa disappointed last time walipokuja Ivory coast, nilinunua ticket za 60,000 mbili na Mzenj wangu! Wakati nanunua ticket pale karibu Steers kule mjini kuna vijana walinifata brother nina ticket za dili nipe hiyo 60,000 nakupa mbili tickets. Nikawa na wasi wasi ila niliambiwa inawezekana ni ticket zenyewe mzee Chilla Tenga huwa anashirikiana na akina Mwakalebela kuwa na ticket za ziada. Niliignore wale vijana kuogopa kupigwa fake.

Tuliingia uwanjani nikiwa nimeshikana mkono na Mzenji. Tukaelekezwa kwenye lile jukwaa husika, nilitegemea kutakuwa na watu wastaarabu maana hata raisi alikuwa hapo kwa VIP. Chakushangaza kulikuwa na jamaa anakula mahindi ya kuchoma, mchafu mchafu hivi, anaongea hovyo hovyo nadhani pia alikuwa amelewa ombe za kiasili.

Katika uliza uliza nikaambiwa mjanja wa mjini huyo ticket yake ya dili huenda kanunua ticket ya 60,000 kwa buku 10. Na kweli baada ya kuulizia siku ya pili nikaambiwa mjini hapo wajinga ndio wanaoliwa. Kila tukio kubwa huwa kuna mambo ya dili.

Zis time nimeamua nioneka wa mujini nami, nitapata wapi ticket za dili naambiwa kila kitu dili hapo mjini hata ukitaka mega selebriti kuna watu wakuongea nao...

Nataka ticket ya dili siwezi lipia 400,000 hahahaha usawa huu mimi na mzenj

Ticket ya dili

Masa K

Mpwa lakini kumbuka ile ilikuwa ni Ivory hii ni braaaaaaaaaaazil! angalia usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia mpwa...ni heri hiyo hela ukabata Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi huku unadokolea mamcho kwenye TV yako...
 
Mpwa wacha nitest zali nikiliwa nitakaa kimya najua itakuwa imekula kwangu! ila nikiwin nitatangazia taifa la jamhuri ya JF
 
kumbe wataonyesha live? sasa Masa unaenda kufanya nini ama kupiga picha na robhino?
 
kumbe wataonyesha live? sasa Masa unaenda kufanya nini ama kupiga picha na robhino?

Nataka nionekane kwenye Supersport na Skysport channels TV dunia nzima! Halafu itajulikanaje kama ninazo?
 
Manyuki acha wizi weweeeeeeee
sasa vil euliona wengine wameingia na za dili na ikatiki, jaribu sasa kama hautaliwa
njoo mjini pale pale samora nje ya steers siku watakayo uza utapata za dili...............kilio chake ulie n amzenji mie sipo maana hiyo ni karata tatu
 
Nataka nionekane kwenye Supersort na Skysport channels TV dunia nzima! Halafu itajulikanaje kama ninazo?

hahaaa ukishaonekana supersport then chapa ng'ombe wenzio will be so proud of their president lol!!! Manyuki you always make me lol!!!
 
Manyuki acha wizi weweeeeeeee
sasa vil euliona wengine wameingia na za dili na ikatiki, jaribu sasa kama hautaliwa
njoo mjini pale pale samora nje ya steers siku watakayo uza utapata za dili...............kilio chake ulie n amzenji mie sipo maana hiyo ni karata tatu

Hahahah sidhani kama itakula kwangu.....maana ticket zenyewe hazina hata bar code !
 
hivi ni lazimauende?????????????????? ukiangalia TBChutaona??
 
Nataka nionekane kwenye Supersport na Skysport channels TV dunia nzima! Halafu itajulikanaje kama ninazo?

wakiuza chini ya elfu kumi nishtue na mie ninunue lengo likiwa kama lako.
 
Pale nje ya ground la taifa kwenye parking karibia na kikituo cha daladala kuna wadau wanazibana za dili. wale jamaa wanadai wanazo hadi za Fainali ya World cup.
Chek nao.
 
Mpwa wacha nitest zali nikiliwa nitakaa kimya najua itakuwa imekula kwangu! ila nikiwin nitatangazia taifa la jamhuri ya JF

Haya mpwa all the best hata kama itakula kwako niambie tuu mie swahiba wako nitakupooza na bia mbili tatu za baridi!! then naangalia uwezekano wa kukulipia ticket ya kwenda SA kuangalia Fainali hii imekaaj mpwa...nipo huku ubalozi wa SA nimepewa ticket 4 za bure sasa natafuta maswahiba wa kuwapa....pia mpe na Paka Jimmy hii dedication yangu ya kumpa ticket....miss him a lot
 
Pale nje ya ground la taifa kwenye parking karibia na kikituo cha daladala kuna wadau wanazibana za dili. wale jamaa wanadai wanazo hadi za Fainali ya World cup.
Chek nao.

Hahahahahahah du sisi kwa madili hatufai kabisa! Thank you mazee nitawahi siku ya mechi
 
Pale nje ya ground la taifa kwenye parking karibia na kikituo cha daladala kuna wadau wanazibana za dili. wale jamaa wanadai wanazo hadi za Fainali ya World cup.
Chek nao.

kweli mjini kufa kufaana....
 
Tonge tatizo hapa sio kipi ni kipaumbele hapa ni matanuzi kwa kwenda mbele na kujitafutia ujiko wa mkulu maana hata ziara yenyewe inaratibiwa kwa karibu na ofisi yake.

October tuipige chini serekali isiyo na uchungu na wananchi wake. Kima cha chini 104,000.00 kiingilio 200,000.00 nini maana yake?
 
Back
Top Bottom