Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Morning Tete'a'tete!
Mie kweli ni mwajiriwa,lakini mpaka leo mwajiri hajatoa mshahara kwa kuwa kampuni haina hela(kuna financial crisis) na isitoshe hapo kazini kwetu wafanyakazi wengi tayari wanaishi kwa mikopo,nikimaanisha kuwa take home yao ni chini ya laki moja na hiyo inaishia kwa mpemba.
Wafanyakazi tayari tuna mikopo ya saccos,benki,mikopo ya ndani ,makato ya loan ya chuo kikuu n.k.sasa ukiongezeka mkopo wa Mwakalebela na Brazil itakuwaje???????????
Hii kitu naiona ni ngumu,na nadhani wafanyakazi wengi hawatamuudu kwenda huko.
Hili kweli ni tatizo la wengi sasa nina nguruwe wangu pale nyumbani ngoja niangalie soko nikifanikiwa nitakusaidia japo uingie uone hiyo mechi lakini itabidi upunguze makali ya kukaa kule VIP ukae huku kwenye sehem ya toto za mbwa kwa bei rahisi sawa charity!
 
Kaka....
Tiketi ni zengwe kwa sasa.
Tunasikia sikia tu kuwa zimeisha.
Tunaomba pccb (takukuru) wasimamie swala hili ili kuondoa hujuma.
 
Hili kweli ni tatizo la wengi sasa nina nguruwe wangu pale nyumbani ngoja niangalie soko nikifanikiwa nitakusaidia japo uingie uone hiyo mechi lakini itabidi upunguze makali ya kukaa kule VIP ukae huku kwenye sehem ya toto za mbwa kwa bei rahisi sawa charity![/QUOTE]

Asante tete bora nisiende kabisa nijue moja na mimi nimegoma.
 
Being from a neighbouring country, I hope it is not going to be an offence or problem to post my article in your beloved blog. I have been a follower, and a keen reader of this blog since the fierce debate related to the East African treaty. ever since, I follow very closely debates and issues on this blog. After all, what affect Tanznaia, affect us kenyans as well​

After reading this piece, "Tanzania Pay Brazil Price" from BBC, I decided to write something for my neighbours Tanznaians. A countryin the bottom of the poorest in the world, I was shocked on the rationale and thinking of these people. How could Tanznaia pay such a price for Brazil to come and play soccer in Tanzania, while women giving birth are dying in hospitalsbecause they cant get medicine. The could have used the money to mordenize their Aiport to be the Best in East aAfrica.​

Allow me to criticise you, in East Africa, Tanzania is the poorest and the most backward in terms of development, but when you say that, kenyans are seen as very arrogant. NO. This is the truth, and this is he criticim you should take positively. Rational people dont do things like these, if you cant pay teachers, or policemen a decent salary, the education can never improve neither can the country be safe.​

Like I said in my previous comments which drew alot of fire, I lived with Tanzanians in the UK for 8 years, and my roommate whom I can call by the last name "Rutahibwa" was from TZ. He came on the background of education, but I tell you after six months, the man ditched school and joined the first life. He was always asleep during the day and party during the night. He never worked but did not take long either before he started driving Range-Rover and Ferarri. He talk too much and knew everything, and had so much money. I got nervous and moved out, months later he was arrested fro drug dealing. Very many Tanzanians i knew in the UK never worked but lived posh lifestyles​

I have called Julus Nyerere, your celebrated and contreverial Dr. Shayo, and John Masaka not to be Tanznaians because of their thinking, I called them Tutsis, and Kenyans because they think like Kenyans, and will be glad to see them return to their ancestral land, which happened to be US Presidents birth place. This football saga, a poorest country in the world paying the richest team in the world millions of dollars is a form of insanity, kenyans (TAX payers) could not accept anything like this. In Kenya we are ready to die for what we believe in, and that is why I described Tanzanians to be party anmals and funniest creatures.

Mjomba Paulo Kamau​

Nakuru Kenya

**(Imenukuliwa toka Michuzi Blog) Je wewe unasemaje?

Purely non-sense from an ARROGANT Kenyan..I feel like I wanna vomit reading this post...
 
Mechi haipo watanzania wameigomea badala yake timu ya Brazil imeandaliwa dhifa ya taifa Ikulu, habari ndo hiyo!
 
Kwa habari nilizozipata toka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba tiketi za laki 2 zimeisha, za elfu hamsini zimeisha pamoja na elfu thelathini pia nazo zimeisha.

Nasikia baadhi ya watu wamezinunua kwa wingi, e.g. Yusuf Manji (for Yanga fans), Azim Dewji (for his staff at Simba Plastics), NMB (main sponsor), Serengeti (Sponsor), na makampuni mengine mengi. Wengi wa hawa watu wameshalipia tayari, hii ni kwa mujibu wa chanzo changu kilichopo pale TFF!!

Binafsi nimeanza kuingiwa na woga wa kuikosa mechi hii!!

Hivi kuna haja gani ya TFF kutangaza kuanza kuuza tiketi kesho mchana huku tayari wameshaziuza tayari baadhi ya tiketi kupitia mlango wa nyuma? Hii ni sawa kweli????
 
Hili kweli ni tatizo la wengi sasa nina nguruwe wangu pale nyumbani ngoja niangalie soko nikifanikiwa nitakusaidia japo uingie uone hiyo mechi lakini itabidi upunguze makali ya kukaa kule VIP ukae huku kwenye sehem ya toto za mbwa kwa bei rahisi sawa charity![/QUOTE]

Asante tete bora nisiende kabisa nijue moja na mimi nimegoma.

Sasa Charity nikusaidieje mi nilikuwa nataka kweli uende maana ombi lako jamani wakina fidel/masaki/FL1/nyamayao/Cheusi Mangala/Nyani Ngabu....wamekugomea kukuchangia?? please heb tuangalia tutamsaidiaje Charity mi imenishinda uwezo wangu ni kwa bei rahisi yeye anataka akae karibu na JK lo yamenishinda...but bado tunaweza kumsaidia..
 
Sawa ila mimi bado tatizo liko kwenye tume ya mawasilia kuachia walalahoi washindwe kuendelea kuinjoi TV baada ya 2012 kwani itagharimu watanzania kuwa na decoder 3 kuweza kupata local channels. Hii haiingii akilini kabisa.
 
Kwa habari nilizozipata toka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba tiketi za laki 2 zimeisha, za elfu hamsini zimeisha pamoja na elfu thelathini pia nazo zimeisha.

Nasikia baadhi ya watu wamezinunua kwa wingi, e.g. Yusuf Manji (for Yanga fans), Azim Dewji (for his staff at Simba Plastics), NMB (main sponsor), Serengeti (Sponsor), na makampuni mengine mengi. Wengi wa hawa watu wameshalipia tayari, hii ni kwa mujibu wa chanzo changu kilichopo pale TFF!!

Binafsi nimeanza kuingiwa na woga wa kuikosa mechi hii!!

Hivi kuna haja gani ya TFF kutangaza kuanza kuuza tiketi kesho mchana huku tayari wameshaziuza tayari baadhi ya tiketi kupitia mlango wa nyuma? Hii ni sawa kweli????

Za 30,000/- zipo maalum kwa ajili yako hizo nyingine wanazopiga kelele mihela mingi wamezinunua wenye HELAA
 
Sisi kwetu ndio matajiri sanaaaa mpaka kiingilio kidogo kiwe 30,000/=? Hapa kuna harufu ufisadi live, tugomeni tu kwenda uwanjani kama MwanaJF mmoja alivyosema.:glasses-nerdy:
 
acha kelele wewe hiyo mechi kwako ni anasa angalia kaa nyumbani uingalie kupitia kwa runinga au unathani huku ulaya kila mtu ana-afford kuangalia mpira live? Hizi kelele nyingine nazo basi tu!
 
acha kelele wewe hiyo mechi kwako ni anasa angalia kaa nyumbani uingalie kupitia kwa runinga au unathani huku ulaya kila mtu ana-afford kuangalia mpira live? Hizi kelele nyingine nazo basi tu!

Wewe ni walewale mafisadi wasio na uchungu na walala hoi, sijui humu JF unangoja nini, hebu tafuta forum ya mafisadi wenzio, sisi hapa tuko huru kutoa madukuduku yetu na huna uwezo wa kuniambia niache kelele.
 
Sisi kwetu ndio matajiri sanaaaa mpaka kiingilio kidogo kiwe 30,000/=? Hapa kuna harufu ufisadi live, tugomeni tu kwenda uwanjani kama MwanaJF mmoja alivyosema.:glasses-nerdy:

Goma wewe tu..wenye hela wanakwenda na tayari siti zimejaa bado chache za kule kwa walalahoi...Tulia nyumba ufanye mgomo huku ukiwa na remote yako ukiangalia vipindi vya mapishi na cartoon!!...Sie Michezo ndo starehe yetu!!
 
Sisi kwetu ndio matajiri sanaaaa mpaka kiingilio kidogo kiwe 30,000/=? Hapa kuna harufu ufisadi live, tugomeni tu kwenda uwanjani kama MwanaJF mmoja alivyosema.:glasses-nerdy:

labda Brasil wamenda Zimbabwe kwa Basi ndio maana gharama zimekuwa ndogo?=>10USD

na 10$ in kima cha chini au cha Juu?
 
Kuna mtu amekulazimisha kwenda uwanjani?
Soka lina watu wake, kama ww si mshabiki utaona thate ni pesa kibao!
kila fani ina watu wake, mwingine akiona unatumia thate kwenye laga atakushangaa!
wacha watu wakacheki soka kwa raha zao!! unafikiri watakuskiza wewe wakati mafweza wanatoa wao?!!!
 
Back
Top Bottom