Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

jamaa baada kutangaza utalii kwa kumrudishia ngumi alves anamuangalia tu .


hili kipa dunia ndio imemjua kuliko mlima kilimanjaro sasa.
 
Brazil hizi dola milioni kadha watakuja kuzijutia..,maana hao kina kaka wanapoteza valuable time.
 
Aaah, hivi pale kwenye goli la tanzania kuna golikipa kweli?? mmmh yaaani maximo ameshindwa kabisa kupata goalkeeper.

Kwakweli haya magoli kafungwa goalkeeper na siyo taifa stars
 
Afadhali umekwisha... Mvua ya Magoli; naona Maximo anaanza kuhojiwa
 
Mkuu, i can tell you that watu wengi wameishia kwenye foleni!!! poor logistics zimeua bongo brazil game. we didnt prepare well walioondoka saa tisa maeneo ya oysterbay, walikwama maeneo ya stesheni hadi round about ya kurasini hadi kumi na mbili kasoro...

Poor logistics zimeisimamisha kigamboni na wale wagonjwa wanaokimbizwa muhimbili kutoka kisiwani sijui kama waliweza kufika to their destination

Kibaya zaidi pesa ishaenda na watu watasema --- it was a great accomplishment!!!

Hao wanaotoka Oysterbay pia mambo yao safi. Sisi mafundi magari tunapenda sana, ndio maisha yetu. IHatukuweza kuafford kwenda uwanjani.

Heri yake yule jamaa aliamua kuingia uwanjani huku mechi ikiwa inaendelea ili amguse kaka. Baada ya kumaliza shughuli zake na kutoka nje ya uwanja ETI ndio polisi wanamkamata na waandishi kuanza kupiga picha....polisi wetu bwana....
 
hahahahhaaaaa uwanja ziiii
no masham-sham wote hapo ni kama uyo jamaa kaja na suti uwanjani????
tena kaniga tai kuubwa eti mshangiliaji
 
hawa mabeki na kipa wao wote ni wanaachia tu
 
Serikali F
TFF + wanaandaji D
Advertisers F
Watazamaji D
wachezaji D
 
USD 2.5 mil gone plus a bonus ya goli 5. Hii ndio watu wa pwani twaita kukandwa maji umekandwa na mtoto umemkosa..
 
kwani nyinyi mlitaka matokeo au mlitaka Brazil waje muwaone tu? wamekuja mmewaona mambo mengine yote ni irrelevant.
 
Hawa wacheza wa sasa sio good enough!Imagine tungekuwa na Peter Tino,Mogella,Nico Njohole ?
Keeper the worst,Right back alikuwa caught many times,Ngassa kidogo !

Kama hatuwezi kuqualify hata AFRiCA CUP OF NATIONS tusitegemee mambo makubwa!
 
yani bifu la maximo na kaseja ndio limeenda kutuletea hili kipa kweli kiboko.kama kaseja hana nidhamu basi na maximo pia hana nidhamu kwa kumchagua kipa kama huyu.


hii mechi imetuongezea umaskini kusema kweli.
 
Hao wanaotoka Oysterbay pia mambo yao safi. Sisi mafundi magari tunapenda sana, ndio maisha yetu. IHatukuweza kuafford kwenda uwanjani.

Heri yake yule jamaa aliamua kuingia uwanjani huku mechi ikiwa inaendelea ili amguse kaka. Baada ya kumaliza shughuli zake na kutoka nje ya uwanja ETI ndio polisi wanamkamata na waandishi kuanza kupiga picha....polisi wetu bwana....

sasa kuna wagonjwa wamekwama kwenye foleni na ambulance maeneo ya kigamboni akisubiri wa oysterbay wapite na hawakupita... sijui walimalizaje lakini surely we are far away from seriousness kwenye mipango

we looked at tickets, brasil, na muda wa kuanza...
 
wachezaji wetu hawana stamina kabisa.Tanzania hakuna Gym?trainers kazi yao ni nini?
Gym zipo. Shida ni nidhamu katika maraha: vinywaji (pombe) na wadada/wamama & mlo dhaifu. Huwezi kuwa na stamina bila kuwa na nidhamu katika hayo hata kama unafanya gym.
 
Nina hasira za dhati kwa walioandaa hii mechi bila kutangaza vivutio vyetu ipasavyo.Hakuna Kilimanjaro,zanzibar,manyara,ngorongoro,gombe,ruaha....,hyo mjinga aliyeweka tangazo la Serengeti as if liko indoor ana matatizo ya akili.
Ni wakati muafaka hawa wazee wakaondoka sasa na hayo matoto yao yasiyo na kitu kichwani wakayaache yaendelea kupumzika kwenye masofa nyumbani.This was a big opportunity lost.
 
lakini yule keeper wetu bora wangesimamisha mti mle ndani
 
Back
Top Bottom