TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
wachezaji wetu hawana stamina kabisa.Tanzania hakuna Gym?trainers kazi yao ni nini?
he, yaani unauliza gym ??? uliza wanakulaga nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wachezaji wetu hawana stamina kabisa.Tanzania hakuna Gym?trainers kazi yao ni nini?
Mkuu, i can tell you that watu wengi wameishia kwenye foleni!!! poor logistics zimeua bongo brazil game. we didnt prepare well walioondoka saa tisa maeneo ya oysterbay, walikwama maeneo ya stesheni hadi round about ya kurasini hadi kumi na mbili kasoro...
Poor logistics zimeisimamisha kigamboni na wale wagonjwa wanaokimbizwa muhimbili kutoka kisiwani sijui kama waliweza kufika to their destination
Kibaya zaidi pesa ishaenda na watu watasema --- it was a great accomplishment!!!
Hapo hamna golikipa!!
Hao wanaotoka Oysterbay pia mambo yao safi. Sisi mafundi magari tunapenda sana, ndio maisha yetu. IHatukuweza kuafford kwenda uwanjani.
Heri yake yule jamaa aliamua kuingia uwanjani huku mechi ikiwa inaendelea ili amguse kaka. Baada ya kumaliza shughuli zake na kutoka nje ya uwanja ETI ndio polisi wanamkamata na waandishi kuanza kupiga picha....polisi wetu bwana....
Gym zipo. Shida ni nidhamu katika maraha: vinywaji (pombe) na wadada/wamama & mlo dhaifu. Huwezi kuwa na stamina bila kuwa na nidhamu katika hayo hata kama unafanya gym.wachezaji wetu hawana stamina kabisa.Tanzania hakuna Gym?trainers kazi yao ni nini?
Taifa Stars 1 - 7 Brazil