Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Baada ya miaka mitano ya JK tumeweza kufaulu kuvuna/kununua goli tano kwenye kandanda. Kweli maendeleo yaweza kupatikana kwa njia mbalimbali jamani but at what cost, hongera sana KJ !
 
kwaherini wadau hawa Goons wamenichelewesha kwenda WWDC..,it was a painful experience watching how poor we are intelectually.wakati watanzania tunatumiwa na wenye mkate kufanya mambo makubwa.
 
Hell no!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!......................Ya kweli haya Home B???????????

KOCHA WETU MPYA ANAITWA PAULSEN NA ALIKUA ANAFUNDISHA VIJANA DENMARK... maximo aishie zake tu, kafaidi alivyofaidi sasa aache wenzake
 
Swali....Hivi mechi ya leo imetumika vipi kuutangaza utalii(tulioambiwa ndo lengo kuu la kuwaleta Samba Boys)????????????????????

siasa tu mkuu hakuna kingine chochote kilichofanyika hapa,kama walikuwa na nia ya kutangaza utalii hizo dollar mil 2.5 wangeenda kulipia matanazo South Africa huko huko ambako macho yote ya dunia yapo huko.
 
Tuachane na kilio cha kufungwa na Brazil tuanze kushangilia mengine mazuri pia. Kwa mfano hili hapa chini
Tanzania yaiua Zimbabwe 15-0 'Sauzi'



Na Somoe Ng`itu



7th June 2010







[FONT=ArialMT, sans-serif]Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania iliendeleza kutoa 'dozi ya vipigo katika mashindano ya kimataifa ya Copa Coca Cola baada kuisambaratisha timu ya vijana ya Zimbabwe kwa 'mvua' ya magoli 15-0 katika mechi iliyofanyika kwenye jiji la Johannesburg jana jioni.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mshambuliaji Thomas Ulimwengu alifunga magoli matano katika dakika za 6, 9, 12, 21 na 22, na magoli mengine yakaongezwa na Omega Seme (dk.10), Ali Thabit (dk. 27, 31, 63), Jerome Lambele (dk.44, 51, 57), Ibrahim Rajab (dk. 49), Hamisi Mroki (dk59)na Himid Mao aliyefunga katika dakika ya 61. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kipigo hicho kilikuwa ni cha nne kwa Zimbabwe katika mechi zao nne baada ya kuchapwa 5-0 na Nigeria, 5-0 dhidi ya Malawi na 15-0 kutoka kwa wenyeji Afrika Kusini.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kabla ya ushindi wa jana jioni wa 15-0, Tanzania iliwashangaza mabingwa watetezi Nigeria, kwa kuwashushia kipigo cha magoli 2-0 katika mchezo uliofanyika asubuhi jana.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tanzania ilianza kampeni zake kwa kuichakaza timu ya vijana ya Malawi kwa magoli 11-0 juzi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Magoli yaliyoipa ushindi timu hiyo ya Tanzania katika mechi yao dhidi ya Nigeria jana asubuhi, yalifungwa na Lambele Gerome katika dakika za 27 na 47.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kutokana na matokeo hayo, timu ya Tanzania imekuwa gumzo katika mashindano hayo yanayoshirikisha timu 12. Tanzania itamaliza mechi zake za hatua hiyo ya makundi leo asubuhi dhidi ya wenyeji Afrika Kusini.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kiongozi wa timu hiyo, Ahmed Mgoyi na makocha wa timu, Rodrigo Stockler na msaidizi wake, Sylvester Marsh, wameliambia gazeti hili kuwa wachezaji wamefanya juhudi kuhakikisha wanashinda mechi zote.[/FONT]



CHANZO: NIPASHE
 
TFF aibu tupu...kama Watz wameweza kususia game kwa kiingilio,basi hataCCM wataisusia tu siku moja!!!
 
TFF aibu tupu...kama Watz wameweza kususia game kwa kiingilio,basi hataCCM wataisusia tu siku moja!!!


TFF wanahitaji cost accountant mzueri wa kuwasaidia katika mabo haya; wao walipanga viingilio vile kiholela bila kufanya break-even analysis na hivyo kujikuta wakipoteza badala ya kupata.
 
Tuachane na kilio cha kufungwa na Brazil tuanze kushangilia mengine mazuri pia. Kwa mfano hili hapa chini

This is very good news.

if we are ever going to improve in soccer this is where it has to begin. With our youth teams and leagues (not that we have one yet but we need them. each premiership team should have some kind of youth development program and team).

If we put our efforts towards this by 2018 we could be represented at the world cup.

Even if you bring Mourinho to coach us, he can only work with what he has. So blaming Maximo is useless he has done what he can with what he was given.
 
Ila yeye akaimba kivyake.
[/QUOTE]

hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
this is very good news.

If we are ever going to improve in soccer this is where it has to begin. With our youth teams and leagues (not that we have one yet but we need them. Each premiership team should have some kind of youth development program and team).

If we put our efforts towards this by 2018 we could be represented at the world cup.

Even if you bring mourinho to coach us, he can only work with what he has. So blaming maximo is useless he has done what he can with what he was given.

gigo
 
wachezaji wetu hawana stamina kabisa.Tanzania hakuna Gym?trainers kazi yao ni nini?

Tatizo wakianza kujifua kwenye gym...kupiga chuma, kukimbia kwenye treadmills, ellipticals, n.k. mijitu itaanza kuwaita eti "mabaunsa" whatever the fcuk that means...

Hebu cheki huyu mwana NBA Dwight Howard anavyojifua.....halafu eti yule Hashimu ndiyo apewe kazi ya kum-guard huyu...Lol

 
Last edited by a moderator:
nimeangalia mechi lakini sijaona bango lolote lililokuwa likitangaza utalii wa nchi yetu,hivi mlima kilimanjaro sijui uko kenya au Tanzania?
 
Nina hasira za dhati kwa walioandaa hii mechi bila kutangaza vivutio vyetu ipasavyo.Hakuna Kilimanjaro,zanzibar,manyara,ngorongoro,gombe,ruaha....,hyo mjinga aliyeweka tangazo la Serengeti as if liko indoor ana matatizo ya akili.
Ni wakati muafaka hawa wazee wakaondoka sasa na hayo matoto yao yasiyo na kitu kichwani wakayaache yaendelea kupumzika kwenye masofa nyumbani.This was a big opportunity lost.

Tangazo la serengeti hapa ni serengeti beer
 
Hivi maximo ni mtanzania au??..anawezaje hapo kuitia aibu Brazil??
 
For those who did not see the match all highlights and goals available at www.bongoline.com

We still have got a long way to go. Really really long way.

the big question is was this match worth it?
 
Back
Top Bottom