Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa yako ameongezewa mkataba.....maana analipwa na Ikulu
Maximo bora aende zake tu....Ukiachilia Kaseja pia ana Bifu na Athumani Idd 'Chuji' na Haruna Moshi 'Boban'
Hell no!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!......................Ya kweli haya Home B???????????
Swali....Hivi mechi ya leo imetumika vipi kuutangaza utalii(tulioambiwa ndo lengo kuu la kuwaleta Samba Boys)????????????????????
Tanzania yaiua Zimbabwe 15-0 'Sauzi'
Na Somoe Ng`itu
7th June 2010
[FONT=ArialMT, sans-serif]Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania iliendeleza kutoa 'dozi ya vipigo katika mashindano ya kimataifa ya Copa Coca Cola baada kuisambaratisha timu ya vijana ya Zimbabwe kwa 'mvua' ya magoli 15-0 katika mechi iliyofanyika kwenye jiji la Johannesburg jana jioni.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Mshambuliaji Thomas Ulimwengu alifunga magoli matano katika dakika za 6, 9, 12, 21 na 22, na magoli mengine yakaongezwa na Omega Seme (dk.10), Ali Thabit (dk. 27, 31, 63), Jerome Lambele (dk.44, 51, 57), Ibrahim Rajab (dk. 49), Hamisi Mroki (dk59)na Himid Mao aliyefunga katika dakika ya 61. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kipigo hicho kilikuwa ni cha nne kwa Zimbabwe katika mechi zao nne baada ya kuchapwa 5-0 na Nigeria, 5-0 dhidi ya Malawi na 15-0 kutoka kwa wenyeji Afrika Kusini.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kabla ya ushindi wa jana jioni wa 15-0, Tanzania iliwashangaza mabingwa watetezi Nigeria, kwa kuwashushia kipigo cha magoli 2-0 katika mchezo uliofanyika asubuhi jana.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tanzania ilianza kampeni zake kwa kuichakaza timu ya vijana ya Malawi kwa magoli 11-0 juzi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Magoli yaliyoipa ushindi timu hiyo ya Tanzania katika mechi yao dhidi ya Nigeria jana asubuhi, yalifungwa na Lambele Gerome katika dakika za 27 na 47.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kutokana na matokeo hayo, timu ya Tanzania imekuwa gumzo katika mashindano hayo yanayoshirikisha timu 12. Tanzania itamaliza mechi zake za hatua hiyo ya makundi leo asubuhi dhidi ya wenyeji Afrika Kusini.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kiongozi wa timu hiyo, Ahmed Mgoyi na makocha wa timu, Rodrigo Stockler na msaidizi wake, Sylvester Marsh, wameliambia gazeti hili kuwa wachezaji wamefanya juhudi kuhakikisha wanashinda mechi zote.[/FONT]
CHANZO: NIPASHE
Mie naangalia kupitia chanel moja ya waraabu,naona mtangazaji unauita uwanja wa ben mkapa,kwani tayari mmeubadilisha jina uwanja wetu.
TFF aibu tupu...kama Watz wameweza kususia game kwa kiingilio,basi hataCCM wataisusia tu siku moja!!!
Tuachane na kilio cha kufungwa na Brazil tuanze kushangilia mengine mazuri pia. Kwa mfano hili hapa chini
this is very good news.
If we are ever going to improve in soccer this is where it has to begin. With our youth teams and leagues (not that we have one yet but we need them. Each premiership team should have some kind of youth development program and team).
If we put our efforts towards this by 2018 we could be represented at the world cup.
Even if you bring mourinho to coach us, he can only work with what he has. So blaming maximo is useless he has done what he can with what he was given.
wachezaji wetu hawana stamina kabisa.Tanzania hakuna Gym?trainers kazi yao ni nini?
Nina hasira za dhati kwa walioandaa hii mechi bila kutangaza vivutio vyetu ipasavyo.Hakuna Kilimanjaro,zanzibar,manyara,ngorongoro,gombe,ruaha....,hyo mjinga aliyeweka tangazo la Serengeti as if liko indoor ana matatizo ya akili.
Ni wakati muafaka hawa wazee wakaondoka sasa na hayo matoto yao yasiyo na kitu kichwani wakayaache yaendelea kupumzika kwenye masofa nyumbani.This was a big opportunity lost.
kha nilisahau ku mbe wewe ni mkushi? lol!Poleni sana Wabongo kwa kuchapwa mabao 5-1 yale yale niliyoyatabiri Mpira bado hatuuwezi jamani