Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fundi mbovu hulaumu vyombo vyake mwenyeweMaximo bora aende zake tu....Ukiachilia Kaseja pia ana Bifu na Athumani Idd 'Chuji' na Haruna Moshi 'Boban'
There are currently 153 users browsing this thread. (50 members and 103 guests)
- ngoshwe
- IronBroom
- Edgartz
- Alpha
- emt
- Mzuzu
- Kimweri
- kasimba123
- Balantanda
- Kinto
- Kibongoto
- shejele
- PingPong
- 2c2
- Saharavoice
- Vangi
- Mtuwamungu
- mujuni2
- Eeka Mangi
- Njaa
- MziziMkavu
- Shakazulu
- 911
- Konaball
- RayB
- Mdondoaji
- JuaKali
- stringerbell
- Mfunyukuzi
- Kingi
- CarthbertL
- Tiba
- SN_VijanaFM
- Magezi
- Natasha Ismail
- Mshirazi
- Ngambo Ngali
- Kudi Shauri
- Belo
- Malila
- PGW
- Wanzagi
- Mfamaji
- Chumakibolimoto
- Jungumawe
- Jahom
- Mbassa
- BabuK
- JoJiPoJi
wachezaji wetu hawana stamina kabisa.Tanzania hakuna Gym?trainers kazi yao ni nini?
duh wakuu ndo kwanza naingia nyumbani toka mihangaikoni,jinsi nilivyokuwa nimechoka hбta kuwasha laptop sikuwa na hamu.haya niangalie tv natafuta programu itayonivutia mara eurosport hiyo,khe nashangaa naona friend match report tanzania 1-brazil- 5.mweeeh!nilishtuka kama nimeskia bomu la mbagaraaa,hivi tumewalipa bei gani vile waje watutie madole??na hii itakua idea ya maximo hii maana si mumempigia debe hafai?kaamua kutulipizia na timu ya kwao,aargh mi sikubali bana kuanzia leo nashabikia burazil hoyeeeeeee,tenga hoyeeeeeee,utalii hoyeeeeeeee,:target:ngoja nikalale sasa maana naona wazimu unataka kunishika kwa hasira.
hapo umesema mkuu wale wazee wa watu washachoka waende zao wakapumzike jamanijamani mimi nahisi wa tz walicheza vizuri tu lakini goakeeper na central defenders wametuangusha .ninasema haya kwa ushahidi wa match stats
tz
shoot on goals - 18
corner -7
ball possession-39%
brazil
shoot on goals-20
corner kicks-6
ball possession-61%
najua tumefungwa lakini wachezaji walijitahidi sana especially ngasa.vile vile tuzingatie kwamba brazil kiwango chao ni kikubwa mno .vile vile brazil hawajaruhusu goli tokea october mwaka jana.
Kuhusu tff kuilipa brazil 2.5 dollar hiyo vile vile si tatizo kwasababu inaonekana tff nao wameuza right ya kuuza game kwa vituo vya television .kwa hesabu za haraka naona wamepata faida more than $2 million .kumbukeni kwamba hii game imeonyeshwa karibu nchi nyingi za ulaya na arabuni pamoja na america .
Jambo lililonitia uchungu ni uwekaji wa matangazo ni mbovu kabisa.watu wanaoshughulikia utalii inaonekana wamelala kabisa .
Kwa taarifa yako ameongezewa mkataba.....maana analipwa na Ikulu
Ndiyo matatizo ya watu wasiojua lolote kuhusu mpira kujiingiza katika maamuzi yanayohusu mpira...Sasa Ikulu na kandanda wapi na wapi!!!! Huyu kocha wa halaiki kule kwao maana hata kujulikana katika anga za soka ndani ya nchi yake hajulikani sijui ni nani aliyemleta nchini....kama kawaida yetu tumeliwa kwa mara nyingine tena.