Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ndo hivyo. . .
Kusema kama ananipenda hasemi, kama hanipendi hasemi, wakati mwingine anaonyesha nna kanafasi mwingine haonyeshi. . .basi tabu tupu.
Sasa si uongee nae! Kaa nae chini ujue kinagaubaga msimamo wake. Kama kweli haeleweki ni vyema kweli ukafanya maamuzi magumu.Ndo hivyo. . . Kusema kama ananipenda hasemi, kama hanipendi hasemi, wakati mwingine anaonyesha nna kanafasi mwingine haonyeshi. . .basi tabu tupu.
Sasa si uongee nae! Kaa nae chini ujue kinagaubaga msimamo wake. Kama kweli haeleweki ni vyema kweli ukafanya maamuzi magumu.
Nzi sio mie bana nnaetaka kumwacha mtu. . .Mh! Kumbe ndiyo dhumuni lako?! Hakika kwa namna yoyote ile, iwe ya kuchinja kama kuku au kama nguruwe, lazima huyo unayetaka kumwacha ataumia tu.
Labda jamaa awe na mipango ya kando ya kutosha...otherwise, kama jamaa ndiyo amejenga kibanda kwako, hakika ataumia tu.
Pengine labda ungesema sababu kuu moja ya wewe kutaka kumwacha (kama umeshaisema, si vibaya ukiirudia tena)
Nimwambie kwanza anitoe nishai? Acha mchezo wewe!!
Kwa nini unadhani atakutoa nishai? Mshikaji mkorofi nini?
Nzi sio mie bana nnaetaka kumwacha mtu. . .
Nilitaka kujua baada ya mtu mmoja kusema anataka amuache mtu wake taratibu baada ya kupata mwingine.
Yuko kama wewe. . .
Sasa sina uhakika kama ni mkorofi au la!!
Yeahhh inabidi aangalie hilo la kujiua. . .Ooohh! Kumbe!!
Basi zingatia ushauri uliopewa na wadau humu, kisha mpelekee huyo "mtu mmoja".
Ila ushauri wangu kwake, ni kwamba bora amwache huyu jamaa instantly. Tena sio instantly kwa sasa maana inaoneka ameshapata mtu mwingine.
Lakini hajachelewa, amwambie sasa huyo jamaa kwamba amepata mtu mwingine, full stop.
Wanaume wengine wako too emotional, hasije jinyonga bure.
Cheers.
Kama ulivyo hivyo hivyo!!
Leo kama vile upo. . .kesho kama haupo. . kama unaelekea ila huelekei. . kama unataka ila hutaki. . .yani full kizunguzungu.
Kongosho hivi mbona matangazo yako mengi sana humu siku hizi? nashindwa hata kuelewa kama JF inalipwa maana niliona tangazo moja eti Kidupi.com.
Labda na yeye anakuona na wewe uko hivyo hivyo....leo hivi...kesho vile...mara yule kafanana na yule...yaani ghasia na vurumai mwanzo mwisho....
Hahahahaha. . . acha unoko wewe. . .achukuliwe, achukuliwe na nani?
mkwe. . .
Mzima kabisa mkwe, sijui wewe.
Mi niko na wewe bana. . .sio mtu anakuacha unajifanya mjinga kwa hiari.