Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naona jinsi ambavyo tunafeli ktk vitu vidogo vidogo,je ingekua kumfanyia manicure au pedicure,[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.
Hapo kwenye mswaki sisi waswahili tumezoa kulala bila kupigwa mswaki tukimaliza mlo wa usiku na ndo maana asubuhi kabla ya kitu chochote lazima tupige mswaki kusafisha chakula cha usiku.Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.
Kila mtu na mawazo yake, kama unaona unadanganywa juu yako. Tupo tulioridhika na maisha yetu jinsi tulivyo. Nyinyi subirini muwe matajiri ndio muinjoi life au kama ndio matajiri injoini maisha yenu.Maskini anaenjoy kugegedana tu, tusidanganyane hapa, kama huna mpunga, kula kwa shida, kulala unategea hadi watoto wafumbe macho ndo uombe mechi mapenzi utayafurahia wapi?
Ukinipikia vyombo lazima nioshe.Mimi nikikualika ghetto misosi ni juu yangu, kazi yako ni kula tu. Hata vyombo ukiona shida naosha mwenyewe.
Kwa kawaida yetu waswahili kitu ambacho hatukijui,hatujawahi kukiona huwa tunasema hakipo/hakiwezekanai.Hapo kwenye mswaki sisi waswahili tumezoa kulala bila kupigwa mswaki tukimaliza mlo wa usiku na ndo maana asubuhi kabla ya kitu chochote lazima tupige mswaki kusafisha chakula cha usiku.
Kwanza nimeshangaa wanaongelea sijui uchafu ina maana asubuhi kwenye morning glory hata kiss hawapeani sababu midomo michafu au? labda kwa anaenuka mdomo ila kama mtu hunuki sioni tatizo kupata breakfast ndo ukasafishe kinywa ukienda kuoga
Bebea tu hata kwenye "ungo"πππAha hiyo mbona simple ngoja nikanunue hicho kitray!!
Basi sawaa.Tunawajua sana
ππππHii niliwahi kuifanya Mbeya na mchepuko nilishuka restaurant nikawapanga wakaanda mazagazaga ya hatari nikapanda nayo room nikampelekea ale. Hiyo hamna kupiga mswaki wala nn wanaita breakfast in bed. Ule mchepuko mpk leo nikiuita tu tunachinja kobe
Mi napenda maisha haya, sijawai fanya ila naomba niishi ivo , ila asilimia kubwa wanaishi wenzetu hio nitamaduni ambayo imetukuta Tz.Nataka niwaone mnaoweza, nijichagulie.....
Karibuni sana
Nauliza usahihi wake mkuu,siyo ulichokiandika.Wewe umeona nimeandika nini?
hakuwa wa Mbeya hiyo kitu nilitoka nayo Dar nilienda nayo Mbeya kikaziHakuna wasichana na wanawake warahisi kama wa Mbeya
Unaweza tumia hizo hizo tray za home ila unawekea stand, tena umenikumbusha, ngoja la kwangu nikalimodify mwenyewe, halafu weekend nijaribu ila nahisi ataniambia 'Embu niletee dawa ya meno na mswaki kwanza' ππ But it is worth tryingππππππ
Mi nakula kila kitu kitandani. Mazoea nahisiKula staftahi kitandani wala hainogi aisee!
Ili nifurahie mlo ni vyema niwe nimeketi kitini wima.
Bado sijaonaga uzuri wa hii kitu.
Kuna watu wanavisheria na huwezi mbadilisha labda umfundishe taratibu, mimi kwa mfano hata baada ya breakfast huwa naswaki tena.Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.
Huku na huku bakuli limecheza umebwaga mchuzi kwenye shuka jeupe [emoji23][emoji23][emoji23].Mi nakula kila kitu kitandani. Mazoea nahisi
Mi nakula kila kitu kitandani. Mazoea nahisi
Sidondoshi hata kidogo. Nishazoea nahisi.Huwa hudondoshi dondoshi crumbs za chakula kitandani?
Kwa sisi tulio clumsy kulia kitandani ni kama mateso flani hivi.
Halafu najiona kama mgonjwa nikilia kitandani.
Mchuzi sijawahi mwaga. Kwanza napenda nikila naweka kila kitu kwenye sahani. Mambo ya kutumja bakuli sinayoHuku na huku bakuli limecheza umebwaga mchuzi kwenye shuka jeupe [emoji23][emoji23][emoji23].
Hivi kuna advantage gani ya kula kitandani? [emoji41]