Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.
Naona jinsi ambavyo tunafeli ktk vitu vidogo vidogo,je ingekua kumfanyia manicure au pedicure,[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.
Hapo kwenye mswaki sisi waswahili tumezoa kulala bila kupigwa mswaki tukimaliza mlo wa usiku na ndo maana asubuhi kabla ya kitu chochote lazima tupige mswaki kusafisha chakula cha usiku.
Kwanza nimeshangaa wanaongelea sijui uchafu ina maana asubuhi kwenye morning glory hata kiss hawapeani sababu midomo michafu au? labda kwa anaenuka mdomo ila kama mtu hunuki sioni tatizo kupata breakfast ndo ukasafishe kinywa ukienda kuoga
 
Maskini anaenjoy kugegedana tu, tusidanganyane hapa, kama huna mpunga, kula kwa shida, kulala unategea hadi watoto wafumbe macho ndo uombe mechi mapenzi utayafurahia wapi?
Kila mtu na mawazo yake, kama unaona unadanganywa juu yako. Tupo tulioridhika na maisha yetu jinsi tulivyo. Nyinyi subirini muwe matajiri ndio muinjoi life au kama ndio matajiri injoini maisha yenu.
 
Hapo kwenye mswaki sisi waswahili tumezoa kulala bila kupigwa mswaki tukimaliza mlo wa usiku na ndo maana asubuhi kabla ya kitu chochote lazima tupige mswaki kusafisha chakula cha usiku.
Kwanza nimeshangaa wanaongelea sijui uchafu ina maana asubuhi kwenye morning glory hata kiss hawapeani sababu midomo michafu au? labda kwa anaenuka mdomo ila kama mtu hunuki sioni tatizo kupata breakfast ndo ukasafishe kinywa ukienda kuoga
Kwa kawaida yetu waswahili kitu ambacho hatukijui,hatujawahi kukiona huwa tunasema hakipo/hakiwezekanai.
 
Hii niliwahi kuifanya Mbeya na mchepuko nilishuka restaurant nikawapanga wakaanda mazagazaga ya hatari nikapanda nayo room nikampelekea ale. Hiyo hamna kupiga mswaki wala nn wanaita breakfast in bed. Ule mchepuko mpk leo nikiuita tu tunachinja kobe
😀😀😀😀
 
Kula staftahi kitandani wala hainogi aisee!

Ili nifurahie mlo ni vyema niwe nimeketi kitini wima.

Bado sijaonaga uzuri wa hii kitu.
 
Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.
Kuna watu wanavisheria na huwezi mbadilisha labda umfundishe taratibu, mimi kwa mfano hata baada ya breakfast huwa naswaki tena.
 
Huwa hudondoshi dondoshi crumbs za chakula kitandani?

Kwa sisi tulio clumsy kulia kitandani ni kama mateso flani hivi.

Halafu najiona kama mgonjwa nikilia kitandani.
Sidondoshi hata kidogo. Nishazoea nahisi.
 
Huku na huku bakuli limecheza umebwaga mchuzi kwenye shuka jeupe [emoji23][emoji23][emoji23].

Hivi kuna advantage gani ya kula kitandani? [emoji41]
Mchuzi sijawahi mwaga. Kwanza napenda nikila naweka kila kitu kwenye sahani. Mambo ya kutumja bakuli sinayo
 
Back
Top Bottom