Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naona jinsi ambavyo tunafeli ktk vitu vidogo vidogo,je ingekua kumfanyia manicure au pedicure,[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu eti anazungumzia ugumu kisa hajapigwa mswaki, kwani ukifikisha bedroom hawezi kuinuka kwenda kupiga mswaki akarudi aendelee? Halafu watu wanakariri kama usiku unapiga mswaki asubuhi unasukutua unakunywa chai halafu ndio unapiga mswaki.