Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hahahaahaaaa.. tutaenda wapi? Visiwanj, bagamoyo au Magoroto? Tunajipanga Nyerere day twende Magoroto wenzio. Wale wale tuloenda Dom
Hayo mnayaweza ambao mnaishi ghetto, mm naishi na familia yangu nikiamka breakfast nataka nile na wanangu, tabia hizo ni za wale wanaoishi single.Wangapi tunaweza kufanya hivi?View attachment 861035
Antonio de Guzman nsubiri hapo pm
Hahahahaaa.. woga huo mchumba. Visiwani 2025Huko nawachieni, ile timu sitakiwi hata kunusa pia maana mtaninyonya damu.
Wewe visiwani.
store....akijibu nitag mkuu hpa pananihusuHii inatuhusu na sisi tunaoishi kwenye chumba kimoja?
[emoji125][emoji125][emoji125]
Wivu mi visiwani wakati cute b naona kabisa unataka kumpeleka Maldives
Sawa mchumbaUtani wa JF tu huo.
Wewe jipange, ukimaliza safari na rafiki zako, mwisho wa mwaka ni yetu.
Hahahahaaa.. woga huo mchumba. Visiwani 2025
Hahahahaaa. Ile jezi ya Yanga ilikubamba eeehMwaka huo utakuwa umeshazeeka, inatakiwa ukiwa bado wa moto.
Tena mavazi ni tracksuits na jezi tu.
Hahahahaaa. Ile jezi ya Yanga ilikubamba eeeh