Breakfast in Bed....

Hii kanuni ya mazingira stahiki imewekwa na nani na kwa misingi ipi?
Ni kanuni ndogondogo ambazo lazima uzifuate,mfano huwez kwenda kula chakula chooni ,kitandani pia sio ,coz unaweza kuleta kunguni au mende kutokana na zile particles za chakula,then kuna bacteria wengi sana ambao ni normal flora mwilini so mtu akilala wengine wanabaki on bed,then they can be contaminated with foods
 
Mimi nilishawahi mfanyia hivyo wife siku ikaenda vyema sana, ila baadaye jioni tukatibuana, hata sikujua tatizo lilikuwa nini.

Breakfast in bed ni poa sana, itamfanya mwanamke akuone wakipekee sana, so ushauri kwa masela hata kama hupendi just try it ili umkamate vizuri mwanamke wako.
 
Unafananisha chumbani na chooni? Btw kuna vyoo unaweza kula bila issue yoyote. Kama kitandani kwako kuna bacteria au wadudu wowote hawatasubiri ule ndio wakudhuru,watskudhuru hata bila kula hapo kitandani.
 
Hivi humu hawezi tokea MTU akaandaa Tour /vacation ? Memba tukaenda kufanya utalii wa ndani? kampuni za kitalii najua zipo na wengine wadau humu ( wazo tu )
It begins with you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…