Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

Unajua wenzetu logistics za kutoka nje ya chumba tu lazima aicomplicate, mimi nikivaa kaptura na T-shirt fasta niko restaurant nachukua narudi room, hapo wote tunakuwa bado wa moto, ila ukishaenda mbali kidogo unakuta mmeshapoa, kwa hiyo kuanzia kuzitafuta nyege tena inakuwa usumbufu, maana cha asubuhi hakina romance ndefu.

Kama hiyo offer siipati, anavaa tunaenda wote na safari inaanzia hapo kwa siku hiyo, unless ilikuwa makubaliano kabla ya kwamba tukimaliza nitafata.
Aaaah kwa hiyo kumbe na wewe una njunjuana.
[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
 
KWAIYO ANAMSHINDILIA HAYO BILA HATA KUSWAKI JMN...AU KUSWAK NI BAADA YA KUBUGIA
 
... Ongezea na Vyuoni pia, na sio vyumbani mwao tu, hapana, hufika mbali zaidi katika uigizaji hadi kwenye lecture hall, Kana kwamba mahusiano ndio kitu kilichowapeleka chuo.
Teacher mbona vitu vya kawaida hivi
Teacher mbona vitu vya kawaida hivi...
Utawapata wengi sana kwenye huu uzi.
Wanaofanya kama mimi sio? Nimeona tupo wachache
 
Back
Top Bottom